Kanisa la SDA la Kirumba jijini Mwanza lawafuturisha waislamu!

Ndio, na wakishakuja mkajadilie kwenye jukwaa la habari na hoja mchanganyiko, au jukwaa la dini.
Dini ni siasa ndio maana shehe Ponda yuko Chadema na yule bishop Mwamakula
 
Acha hasira jibu kwa utulivu
 
DINI NAZO NI UNAFIKI MTUPU,HAWA MAAMUMA HUWA WANAWAITA WAKIRISTU MAKAFIRI,LEO KWA SABABU WANAZOZIJUA WAO WANAPIKIWA NA KULA CHAKULA CHA MAKAFIRI
 
Hivi watu wanajua lakini chakula cha kufutuli kinakuwaje?kisiwe kimepatikana kwa chumo la haramu,mfano hizo hela za kanisa ni sadaka za waumini wanaopata kwa biashara za Bar ufugaji wa nguruwe n.k
 
Leo safi. Ole wao kesho wasiandae futari, wakiitwa jina zuri ni makafiri!
 
Si wanasemaga kuwa ni makafiri imekuaje wakala chakula cha makafiri,
Neno hili huwa linanikera sana sema tu basi, kumuona kiumbe wa Mungu kuwa ni kafiri
Wewe kama mimi. Hasira zangu nikisikia hilo neno hazipimiki.
 
Hivi watu wanajua lakini chakula cha kufutuli kinakuwaje?kisiwe kimepatikana kwa chumo la haramu,mfano hizo hela za kanisa ni sadaka za waumini wanaopata kwa biashara za Bar ufugaji wa nguruwe n.k
Ndungu hakuna msabato anaekula ngurue wala anaeuza bar,km yupo huyo sio msabato ,au amerudi nyuma kiiman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…