Askofu anajificha kwenye kanisa akijidai anaongea na wanawe, lakini kupitia kanisa amekua akitoa shutuma nzito kwa serikali na watu.
Kwa kumbukumbu zangu aliwai kumsema vibaya mkuu wa mkoa wa Arusha na kumuita mtoto wa dawa kisa kapiga marufuku makanisa kupiga kelele usiku.
Kupitia kanisa lake hilo alimshambulia kardinari Pengo
Alitumia kanisa hilo hilo kutoa shutuma kwa Paul Makonda aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar
Sasa hivi kanisa ilo ilo linatumika kuwananga viongozi wa kiserikali akiwemo mheshimiwa Rais,
Shutuma zinatokea madhabahu ya nisa kuwa viongozi wamepewa hongo kuingiza chanjo,
Baadhi ya viongozi wamepigwa chanjo feki
Chanjo itatuua baada ya miaka miwili
Mimi nafikiri ni wakati sasa wa hili kanisa lifutwe maana sadaka ndizo zinatoa kiburi kwa watumishi uchwara