Kanisa la Ufufuo na Uzima lifutwe, kimekuwa ni kichaka cha kupika majungu

Utakuwa mtoto wa dawa wewe sio bure.
 
Mimi ninadhani uliyoyasema ni ya kweli. Mimi ninadhani itabidi aserkali itunge sheria ya kupiga marufuku siasa makanisani na misikitini. Biblia imeandika kuwa "vya Kaizari mpe Kaizaari na vya Mungu mpe Mungu. Kanisani au msikitini siyo sehemu ya kuhuburi siasa za aina yoyote.

Kwanza nitangulize kuwa mimi ni mkristu asiyeenda kanisani. Kipindi cha siku za nyuma Waislamu wengi walipata misukosuko kwa sababu ya madai ya kuhubiri siasa za chuki misikitini. Kuna wengine hadi leo hii kesi zao hazijaisha. Mbona huyu muongo Gwajima mwenye kudanganya wajinga kuwa ana uwezo wa kufufua watu anaendelea kuisakama serkali na wananchi? Mimi Gwajima namuona kama mtu anayefurahia maumivu ya binadamu wenzake, ndiyo maana utamuona akiguswa anakuwa na ulimu mchungu. Huyu mwenyewe kwanza kahaba wa kiume. Alishikwa live, laki wajinga wake (waumini) bado wana imani nayee. Yeye kawateka kiakili (brainwashed) ndiyo maana hata akisema wakila mavi yake wataokoka, watayala.
 
Huyo ukimuangalia utajua anajiona ni mjuzi Sana,lakin ukisikiliza akichambua properties za chanjo utagundua kuwa japo katoka shamba lakini ushamba haujamtoka
 
Gwajima ni tapeli kama matapeli wengine tu,huwa nashangaa sana watu wanapata wapi muda wa kusikiliza anachohubiri or anachokisema?

Tangu amtukane Kadinali Pengo hadharani nikamtoa thamani kabisa,ukiacha zile kashfa zake za ngono na kusababisha ndoa ya yule bwana mdogo tozi tozi na flora kuvunjika.

Serikali inapaswa kumwonya kwa kauli na matendo yake kama sio kumchukulia hatua mana yanahatarisha amani,yanachochea chuki ktk jamii,yanapotosha,yasiyostahili kusema na MTU anaejiita kiongozi wa dini.

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Nchi huru hii wewe kama hajamtukana mtu au kuvunja sheria ya nchi kwann uteseke? Acha kumsikiliza fanya mambo mengine.
 
Waumini wake wanaongea kwa kujiamini na kumsifia baba yao, eti baba! Kulikoni? Misukule inayofufuliwa inakaa wapi? Jamaa anajua kuwateka watu kiakili mpaka kanunua helicopter.

Mzee wa upako alisema hakuna cha helkopta Nani kaishuhudia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…