Kanisa lenye Chumba maalumu kwa Couple imayotaka kutengana

Kamigakiku

Member
Joined
Feb 11, 2018
Posts
8
Reaction score
5
Samahani wana jukwaa kuna simulizi niliwahi kuisoma ila sikumbuki niliisoma wapi.

Simulizi hiyo inahusu kanisa moja huko ulaya lenye Chumba maalum kwaajili ya Couple inayotaka kujitenga, couple hiyo hupewa chumba kicho chenye kitanda kidogo shuka moja, sufuria sahani kijiko na kikombe kimoja na hutakiwa kuishi hapo kwa muda fulani.

Kama kuna mtu anaifahamu hiyo habari naomba kama anaweza kuielezea hapa kiundani au anipe link ya kwenda kuisoma vizuri. Asanteni sana.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…