mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Leo nimewiwa mno kulitafakari kanisa la zamani, la enzi za akina Petro na Paulo.
Paulo anakiri wazi, "Yesu Kristo alikuwa masikini, ili sisi tuwe matajiri".
Paulo aliongoza michango MINGI kutoka kwa waumini wale MATAJIRI, ili kuwachangia/kuwainua waumini MASIKINI. Leo hii haya mbona hayaonekani kwenye haya makanisa ya kileo?
Hakuna jitihada zozote za kuwakwamua masikini, pesa zinakwenda wapi?