johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Naibu Rais mh Gachagua amesema endapo Seneti itakubaliana na Bunge juu ya kumuondoa Madarakani basi huenda Leo Ndio Jumapili ya Mwisho yeye kuingia kanisani akiwa Naibu Rais
Gachagua aliwaeleza Waumini wa Kanisa Moja Takatifu katika Ibada ambayo Rais Ruto ilikuwa ahudhurie Lakini hakutokea
Source: Citizen TV
Mlale Unono 😀
Gachagua aliwaeleza Waumini wa Kanisa Moja Takatifu katika Ibada ambayo Rais Ruto ilikuwa ahudhurie Lakini hakutokea
Source: Citizen TV
Mlale Unono 😀