Kanisa moja nchini uswizi linatumia teknolojia ya ai kuongea na Yesu

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
Copy of Copy of Copy of Copy of Copy of Copy of Copy of Copy of Copy of Cop_20241201_083102_0000.png

Dunia na maajabu yake wanasema tembea ujione nchini Uswizi (Switzerland) Kuna kanisa Moja hivi Liko kwenye mji wa luceme, wameunda AI yenye nguvu yenye kuzungumza kama Yesu kwenye jumba la kuungama.

Wameweka teknolojia hii ya AI kwa kuwapa nafasi wageni kuweza kuzungumza na Avatar ya kidigitali ya Yesu katika lugha zaidi ya 100. Teknolojia hii ambayo inaitwa Deus huko Machina, ilizinduliwa kama sehemu ya ushirikiano kati ya Peter chapel na maabara ya utafiti ya chuo kikuu.

Kanisa Hilo linajulikana kama Moja wapo ya kanisa kongwe zaidi kwenye mji huo wa Luceme, limetumia mfumo huo ili kuweza kuwapa watu nafasi ya kuzungumza na AI yenye avatar ya Yesu kiroho, kwa kuuliza maswali na kujibiwa ya wakati halisi.

hii imewekwa ili kupunguza Muda wa watu kufungua kitabu badala yake watumie Teknolojia hii ya AI kuweza kujibu Kila kitu wanachoulliza kwa lugha yoyote unayohitaji kiswahili, kikongo, kichina nk.

Kwani ikiwa unahitaji kuzungumza kiroho na Yesu juu ya mambo yako binafsi kuhusu maisha nk basi yenyewe inafanya hiyo kazi. Zaidi ya watu 1,000 walishiriki lakini Kuna watu zaidi ya 230 waliweza kutoa maoni wengine wakiwa na wasiwasi juu ya Majibu anayotoa.

Akili bandia hiyo bado inazua gumzo Kwani kwenye kibanda Cha maungamo Kuna picha ya Yesu yenye AI ambayo bado inazua mjadala juu ya jamii ya kikristo.
 
View attachment 3166493

Daaah aisee na tutaona mengi wakuu
 
Back
Top Bottom