Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,176
Moderators mko wapi huyu jamaa anatukana/anakashifu imani za watu?Atasemaje eti kanisa letu ni uchwara je la kwake yeye ndio safi?Huyu jamaa inabidi afungiwe mara moja kwa kebei dhidi ya imani za wengine.
Kwakifupi ndugu yangu hakuna msafi anayeishi duniani hata wewe pia mchafu,acha kabisa kutukana kanisa letu!
posts 70 huwezi kunyamazisha watu tuliowahi hata kula ban.
labda kama hujasikia vizuri: KANISA UCHWARA LAPOKEA PESA ZA FISADI ROSTAM AZIZI
Unaweza kuwa na lundo la post zikawa utumbo tuu,kwani wahenga walisema 'ukubwa wa pua si wingi wa makamasi'
Kwenda zako wewe anatukana vp hamna imani hapa Duniani inayosema pokea hela chafu labda kama wanaweza kufakikisha hawatatumika! halafu kipindi hiki cha uchaguzi? TAKURURU wapo wapi?Moderators mko wapi huyu jamaa anatukana/anakashifu imani za watu?Atasemaje eti kanisa letu ni uchwara je la kwake yeye ndio safi?Huyu jamaa inabidi afungiwe mara moja kwa kebei dhidi ya imani za wengine.
Kwakifupi ndugu yangu hakuna msafi anayeishi duniani hata wewe pia mchafu,acha kabisa kutukana kanisa letu!
Hili kanisa lazima litakuwa uchwara, mnajua huyu mtu mchafu mnamruhusu madhabahuni na kupokea pesa zake chafu, kweli adui muombee njaa hata kinyesi atakula, na wewe kama u mmoja waom ni mchafu pia.Moderators mko wapi huyu jamaa anatukana/anakashifu imani za watu?Atasemaje eti kanisa letu ni uchwara je la kwake yeye ndio safi?Huyu jamaa inabidi afungiwe mara moja kwa kebei dhidi ya imani za wengine.
Kwakifupi ndugu yangu hakuna msafi anayeishi duniani hata wewe pia mchafu,acha kabisa kutukana kanisa letu!
Moderators mko wapi huyu jamaa anatukana/anakashifu imani za watu?Atasemaje eti kanisa letu ni uchwara je la kwake yeye ndio safi?Huyu jamaa inabidi afungiwe mara moja kwa kebei dhidi ya imani za wengine.
Kwakifupi ndugu yangu hakuna msafi anayeishi duniani hata wewe pia mchafu,acha kabisa kutukana kanisa letu!
Mbea nakusikitikia kwa kiasi kikubwa mno. Kwani hata hiyo imani unayoitete sina hakika kama unaifahamu au unafuata mkumbo.....I am born again christian, nimekwenda shule ya dunia hii, na hata ya mbinguni, i know alot about religion than u do......Post ya huyu prof. Kama ni kweli na anaweza kuthibitisha hilo, hakika kila mwenye akili timamu, mwenye elimu hata ya darasa la tatu anaweza kujua kosa liko wapi kwa kupokea misaada (Sadaka za Mbwa...rejea maandaiko), ni sawa na kupokea sadaka ya malaya au kahaba anaeuza mwili wake pale Jolly Club au Ohio na kwingineko.
Hivyo jaribu kuelewa mdogo wangu.
"If there is light in the soul,
There will be beauty in the person.
If there is beauty in the person,
There will be harmony in the house.
If there is harmony in the house,
There will be order in the nation.
If there is order in the nation,
There will be peace in the world."
Kanisa ambalo sio uchwara ni lipi?i Kweli hapo unakosa heshima kwa imani na uhuru wa watu wengine.
Makanisa au misikiti au dini zozote hayawezi kukataza kina rostam, chenge na watu wa aina zao kutoa sadaka au misaada. labda kama wanatoa sadaka au misaada kwa masharti hilo ni sual lingine.
Unaweza kuwa na Hoja nzuri lakini the way unavyoiwakilisha na wewe mwenyewe unaonekana ni part ni kero kubwa
huyu rostam ameanza kuchakachua hadi makanisa duuuh kweli ccm fisadi lisiloona haya,na hilo kanisa linalokubali kuchakachuliwa linamaanishanini?
kwani rostam hana haki ya kutoa sadaka kwa kanisa au nyumba yoyote ya ibada ? hata kama ana kosa hilo kosa liko mahakamani au ? kama liko mahakamani sio kazi yetu kujadili waache mahakama wamalize kazi yao lakini kama hana kosa lolote aachiwe kuwa huru kutoa michango na aina nyingine ya misaada kwa watanzania kama wafanyabiashara wengine wote
It is not about churches comparison
Exodus 23:8
And you shall take no bribe, for a bribe blinds the clear-sighted and subverts the cause of those who are in the right
1 John 4:1
Beloved, do not believe every spirit, but test the spirits to see whether they are from God, for many false prophets have gone out into the world.