Wanajamvi,
juzi nilikuja kwenu na sredi ya kumtusi mchumba wangu 1 and only baada ya kutupia kileo. .
Dah mola kasikia maombi yangu<na yenu kwa ambao mliniombea ajirudi>.
Amenisamehe leo na kunikana niachane na pombe,<final warnging>
Kwa sasa binafsi natangazA VITA against poMBE. .

ha ha ha, inaelekea umefika bei ile mbaya.
Good for u na hongera, ila ndo uache kikweli.
where is Darhotwire when we need it??
Kweli chama chetu cha wanywaji umekiacha kabisa.........tafadhali rudisha kadi pliz na tusikuone tena