Kanisingizia mimba, Nmeikataa, ananiomba pesa ya kuitoa

Unakula Dada na mdogo tu kweli jamani? Inakubalika kwenye jamii? Daa haiko vizuri kabisa hiyo.
Ni Michepuko TU hao,
Afu dada mtu hajui, tunaiba TU na mdg mtu.
 
Nmejifunza kitu hapa[emoji848]
 
Na niishamstuka tangu mwanzo akinisisitiza tufulurize tunafanya.

Kumbe anatafta excuse ya kuhalalisha kibendi Cha watu wengine.

Na kweli,
Kama ningekua nmemwagia ndani
Ningekubali TU maana kukataa mimba na unajua Ni yako 100% Ni ushamba
Man nimependa hii line ya mwisho....Ukijua kitu ni chako as a real man, you take responsibilities na sio kutia tia huruma...
 
Mimbaa Yako hyo umwage ndani au nje,shahawa moja tu inatia mimbaa sipati picha ukizaa nae
 
Mimbaa Yako hyo umwage ndani au nje,shahawa moja tu inatia mimbaa sipati picha ukizaa nae
Sio shahawa Moja, Ni sijamwaga kabisa
Kipind nilichomwaga nje, mimba ingeshakua khbwa

Trust me, hiyo mimba sio yangu
 
MREJESHO......
Siku ya Juz usiku (Nikiwa kwenye ban) MDA wa Saa 4 usiku nmepewa taarifa kua rose na dada yake walifanikiwa kuitoa mimba,afya ya rose inaendelea vizur

Sema Sasa najaribu Sana kuichunguza sana hii mimba ilikua ya Nani exactly mpk aitoe.

Ntawapa update zaidi......[emoji120]
 
Ungehudumia mimba mtoto akizaliwa ukapime DNA
 
Mkuu mi nasubiri mwendelezo sijawahi kuchoka kusoma visa vyako na Mama j pamoja na hii episode ya rose.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…