Kanitafuta tena na namba mpya!

Kanitafuta tena na namba mpya!

FourTwoNet

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2022
Posts
1,236
Reaction score
2,512
Bila hustle mingi!

Si yule mrembo kanitafuta tena na namba mpya! Nikamuuliza vipi, mbona namba mpya? Oooh! Nikikupigia na yangu ya kawaida haushiki simu. Eeeh bwana eh, mwenzenu sijala nyama tangu mwezi wa kumi na mbili, mwaka uliopita!

Mtanisamehe kwa kweli, hapa napita mpaka na mifupa! mzabzab imeisha hiyo!

Nauza mechi free kabisa, wacha iwe itakavyokuwa.
 
Una uhakika haujavuta bangi leo?
 
Back
Top Bottom