FourTwoNet
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 1,236
- 2,512
Una uhakika haujavuta bangi leo?Bila hustle mingi!
Si yule mrembo kanitafuta tena na namba mpya! Nikamuuliza vipi, mbona namba mpya? Oooh! Nikikupigia na yangu ya kawaida haushiki simu. Eeeh bwana eh, mwenzenu sijala nyama tangu mwezi wa kumi na mbili, mwaka uliopita!
Mtanisamehe kwa kweli, hapa napita mpaka na mifupa! mzabzab imeisha hiyo!
Nauza mechi free kabisa, wacha iwe itakavyokuwa.
Tena cha soko matola aka #mbeya townUna uhakika haujavuta bangi leo?
Tatizo anavuta kwa kujifichaficha.Atembee tu huku anainjoi maisha kutoka Mafiati hadi Uyole.Tena cha soko matola aka #mbeya town
Uvumilivu umenishinda mkuu...Halafu baada ya chali kimoko..[emoji23] kukamia kubaya ujue...!
🤣🤣🤣 mkuu, tuseme niliwasha filter.Una uhakika haujavuta bangi leo?
🤣🤣🤣 wakuu, tuseme niliwasha mpaka filter.Una uhakika haujavuta bangi leo?
Tena cha soko matola aka #mbeya town
Bado mkuu, imepanda kichwani.Kwani ile homa yako haujaponaga badoo...?
Waambie hawa.Ndo uanaume