Kanitosa kwa sababu ya woga wa 'kuumizwa'

Duh..kakuacha kwa kuogopa kuumizwa?demu ana akili sana huyo na for sure amkuwin...thats a psychological treatment kaka ili usifeel sana ile pain bt kapata mtu huyo..
 
Dah! Hii ni kati ya sababu ya hovyo ambazo nimewahi kusikia... Yaani anakupenda sana kwa hiyo anakuacha... Kwa hiyo anataka kuwa na mtu asiyempenda sana?! Shukuru amefanya ustaarabu kukuambia mapema...
 
Dah! Hii ni kati ya sababu ya hovyo ambazo nimewahi kusikia... Yaani anakupenda sana kwa hiyo anakuacha... Kwa hiyo anataka kuwa na mtu asiyempenda sana?! Shukuru amefanya ustaarabu kukuambia mapema...
<br />
<br />
Yah!Hii nayo imo
 
ahh mkuu nakupa wiki mbili au tatu.. utamuona kitaani na jamaa mwengine...

kwa ufupi amekutosa mazimamazima... demu wa UDOM nini..?
 
Huyo demu hakupendi,angekupenda asingekuacha kimazingaumbwe hivyo.Tafuta mwingine
 
wadau mawazo yenu yameniingia vizuri,ni kweli huenda kanitosa kiutu uzima ila angenitendea haki kwa kuniambia ukweli

mabinti hakuna haki wewe, mwenye haki ni huyo anaemvulia chupi na kula nae raha, so piga moyo konde songa mbele utapata tu mwingine! Bt inawezekana pia staili yako ya kutongoza sio viwango!nitafute kwa ushauri.
 

move on boy........it is a blessing in disguise..............................ukimfuatafuata utaona cha moto....................waswahili husema pakacha likivuja ni nafuu ya mchukuzi...................
 
Kwahiyo anataka kuwa na mahusiano na asiyempenda ili asiumie siku wakiachana?!! Mhmm! Yuko kinyume kabisa na......
 
Furahini kwa kila jambo, ila kumbuka pia kufanya uchunguzi yakinifu isije ikawa changa la macho na wengine wanafaidi.
 
ndio dunia,, unaempenda ,siku zote na akijua kua una mpenda hiyo ndio malipoyake,, uyo ane mtu wake, just ame kudump kinyemela tu, linalo kuepuka lina kheir na ww utapata wa kwako mzuri inshaallah..
 
Never back down.. If you real love her then keep going man..
 
huenda una tabia zako ambazo hazieleweki, so ameona bora ajikatae mapema ili yasimfike mabaya zaidi.

Kumbuka methali isemayo Heri nusu shari kuliko shari kamili.
 
[h=2]
Re: Kanitosa kwa sababu ya woga wa 'kuumizwa'[/h]
Huenda ukawa umepigwa kibuyu cha kidiplomasia hapo....

practises make perfect utayazoea, hautaumia sana

 
Huyo sio kama hakukupenda tu, haiwezekani mtu anayekupenda akafanya juhudi za kuachana na wewe badala ya juhudi za kukufanya uzitoke kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…