Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Dah...Safi sana... endelea hivyohivyo. Tunasubiri Uzi mwingine zaidi[emoji2960]Nimemkomesha. Kanitumia nauli akajua ntaenda mi sijaenda. Ananipigia sipokei. Akiendelea nampiga block
ohoooo!!!!Ni kawaida yenu umalaya si unaona hata baba ako
Tofauti yeye ni malaya kisiasa
7800??Nimemkomesha. Kanitumia nauli akajua ntaenda mi sijaenda. Ananipigia sipokei. Akiendelea nampiga block
HeeeNimemkomesha. Kanitumia nauli akajua ntaenda mi sijaenda. Ananipigia sipokei. Akiendelea nampiga block
Na wewe unajibu. Safi Sana njooni wote wawili, Nina wasubiri kwa hamu*Baada ya kutuma nauli ,Unampigia kujua kama amepata, Anapokea mume wake na kusema "Tumepata Ubarikiwe sana" π€£*
I love uuuu Jane LowassaNimemkomesha. Kanitumia nauli akajua ntaenda mi sijaenda. Ananipigia sipokei. Akiendelea nampiga block
Naona wanaume wanavyotokwa mapovu!!ππππ
Hivi wewe ni nani hasa? Sina uhakika kama ni wewe kwenye avatar hapo. Maana unashusha za moto,za ukweli sana. Nahisi utakuwa βmeβUnaliaibisha hilo jina la mwisho..haijalishi ni mzazi wako au lah..