OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ikiwa imebaki mechi moja tu kabla ya kosi hatari la Mnyama Simba kukutana na Yanga,napenda kumkumbusha yule muuza mitumba shabiki wa Yanga anayeitwa Kanjunju kuwa asijaribu tena kubet dhidi ya Simba.
Simba ni mnyama mkali.