FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Wapenzi wa Simba habari zenu,
Leo naomba niwachane makavu kuhusu iki kituko mnachokisifia kisa kutokucheka, sijui Putin. Aisee huyu mchezaji ni wa kawaida mno kiasi kwamba ukimpeleka hata KMC atasugua benchi sana kwa Baraka Gamba Majogoro.
Kanoute ni mchezaji asiye na faida hasi wala chanya akiwa uwanjani, kwa kifupi ni 'useless'. Hana ubunifu wowote kama kiungo, kiufupi kazidiwa hata na Saidi Ndemla.
Hana maono yeyote, kuna muda mpira unakuja anabutua, nikimuangalia nashangaa sana kumuona akicheza Simba. Kwa kutegemea Kanoute na Mzamiru mtafukuza mno makocha, ila Simba tatizo leo ni wachezaji wa kawaida sana.
Nunueni wachezaji kama mpo makini vinginevyo kila mchezo mtakaocheza na timu yenye viungo wabunifu mtapata tabu sana?