KANSA INAYOIMALIZA SIMBA SC: Kwanini Kamati ya Usajili inang'ang'ania kuacha pengo upande wa beki za pembeni kila msimu?

Huyo Doumbia nasikia ni Osimhen mtupu!
 
Nathaniel Chilambo anacheza beki zote za pembeni kwa ubora mkubwa! Bado kuna mzee wenu Shomary Kapombe! Kuna yule dogo Mligo! Eeeh wanatosha hawa.
 
Nathaniel Chilambo anacheza beki zote za pembeni kwa ubora mkubwa! Bado kuna mzee wenu Shomary Kapombe! Kuna yule dogo Mligo! Eeeh wanatosha hawa.
Kocha hajui kuwatumia yeye anafosi mfumo wake kutumia mabeki kushambulia huko tuna wingi za maana kama atawatumia hao basi wabaki nyuma wasishambulie watoe pasi kwa kiungo na warudi nyuma
 
Simba wanawachezaji wazuri tu wanaweza kuleta matokeo muda wowote hizi kampeni za yanga za kutaka kila msimu wao ndio wamesajiri zaidi zitawamaliza simba wazisitukie
 
Mkuu kwa jinsi Simba inavyosajili nadiriki kusema kuwa Simba haina kamati ya usajili. Hivyo huu mjadala ufungwe mara moja au neno kamati libadilishwe na kuwa mtu anayesajili.
 
Tatizo ni mo na Magori, mo anampa Magori pesa za kusajili, Magori anasajili kwa mapenzi yake binafsi bila kuangalia mahitaji ya timu.
Inatia uchungu kuona timu ndogo zimebalance lakini Simba unayoambiwa wana mikataba ya mabilioni wanashindwa kusajili wachezaji sahihi.
Dirisha hili nilitegemea usajili wa kwanza ni beki namba tatu, foward na kiungo mkabaji lakini wao usajili wa kwanza ni mawinga .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…