Ntemi Kazwile JF-Expert Member Joined May 14, 2010 Posts 2,182 Reaction score 308 Dec 20, 2010 #1 Je ni kweli kuwa mwanaume anayelamba sehemu za siri za mwenzi wake ana hatari kubwa ya kupata cancer ya koo? Kama ni kweli kuna namna yeyote mtu anaweza kucheki kama ameshaanza kupata hiyo athari na namna ya kupunguza makali yake?
Je ni kweli kuwa mwanaume anayelamba sehemu za siri za mwenzi wake ana hatari kubwa ya kupata cancer ya koo? Kama ni kweli kuna namna yeyote mtu anaweza kucheki kama ameshaanza kupata hiyo athari na namna ya kupunguza makali yake?