mtumishi wa yehova
Member
- Dec 12, 2023
- 67
- 65
Tapeli ilo jamaaEndapo hatopona utamlipa fidia ya kumpotezea muda kwenye hayo matibabu yako? Tuacheni masikhara au kuleta biashara kwenye afya za watu, wewe ungekuwa na uwezo huo wa kutibu Cancer wala usingekuwa na muda wa kushinda humu jamvini kuwinda watu wa kuwatibu, watu wangekufuata wenyewe na usingekuwa na muda kabisa maana hata wateja wangekuzidia, pengine hata serikali ingekuwezesha ili uweze kusaidia wengi.
Acheni janjajanja yenu kwenye matatizo ya watu tafadhali.
Unaaandika kirundi,mimi sikijui.Ngabire nagabiwe nkundira....
Unamkumbuka Steve Jobs boss wa Apple? Cancer ya kongosho ilimuondoa. First time wameigundua akashauriwa operation pamoja na chemotherapy na ilikua anapona kabisa kwa sababu waliiwahi. Mzee aligoma akaenda fanya tiba mbadala za kihindi,hali ilipokua mbaya akarudi hospitali.Sahihi mkuu immunotherapy kama ulivyosrma inasaidia kuboost ama kushtua immune system ili iweze kupambana na seli za kansa.
Moja ya sababu ya mtu kupata kansa ni kuwa na low immunity.
Ndio maana logically tu hata hili tunda la mstafeli lina kiwango kikubwa cha vitamic C ambayo ni important vitanic katika kuboost immune system.
So huwenda ika make sense kwamba hili tunda na mfano wake yakawa yanasaidia kupambana na kansa.
Dawa ipo ni wewe tuu hujaamua kuitafuta...Yapata miaka miwili imepita tangu mke wangu alipogundulika ana saratani ya matiti, tulianza dozi ya CHEMOTHERAPY pale GOOD SAMARITAN CANCER HOSPITAL Ifakara, tulipatiwa jumla ya mizunguko 8 ya CHEMO, hali ilionekana kuwa nzuri ila ndani ya muda mfupi sana uvimbe ulianza tena.
Baada ya kuona uvimbe umeanza upya tulihamia Dodoma BENJAMIN MKAPA napo tulipatiwa chemo 4 kisha ukafanyika upasuaji ili kuondoa titi lililoathirika na saratani, upasuaji amefanya mwezi wa 4 mwaka huu.
Baada ya upasuaji hali ilionekana kama ipo vizuri, ila baada ya miezi ipatayo mi3 mgonjwa ameanza kusumbuliwa tena.
Anasumbuliwa na; MAUMIVU MAKALI SANA MAHALA ALIPOFANYIWA UPASUAJI
KIDONDA KISICHOPONA (kilianza kidogo sana, kama kiji upele, hatimae kikakua. Hakionyeshi dalili ya kupona.
Najua yote ni mipango ya Mungu, ila sina matumaini kama mke wangu anaweza kupona kwa sasa.
KUNA MTU ASHAWAHI KUUGUZA MGONJWA WA SARATANI naomba ushuhuda ambao unaweza nisaidia cha kufanya.
KAMA KUNA DAWA ZA TIBA MBADALA ULITUMIA ZIKASAIDIA, NAOMBA MSAADA PIA.
Kwa sasa mgonjwa yupo tu nyumbani tunasubiri neema ya Mungu
Ushauri wowote pia napokea.
Unajua unaweza kuongea ukweli na watu wasiojia ukweli ulivyo wataona, uliochoandika sio mahala pake..Pole, lakini lazima NIKUAMBIE UKWELII.
Hiyo unayoiita TIBA MBADALA ndio TIBA HALISI, Mimea ya asili yenye nguvu ya kukuponya na kuhuisha mwili dhidi ya maradhi ya aina yoyote.
Hayo MAKEMIKALI ndio yalipaswa kuwa TIBA MBADALA. Ukishafeli kutumia MIMEA SAFI (kitu ambacho hakiwezekani) sasa ndio ukajijaze MAKEMIKALI MACHAFU na MIONZI.
Mkiambiwa MNABEZA, ooohh MIMEA NI UCHAWI! Haya sasa!!!!! Umerudi kule kule!!!
Oooohh, wewe hujui sayansi, wewe mchawiii!! Sayansi yenyewe ndio hiyo, umelipa MAMILIONI ukajazwa MIONZI LUKUKI mpaka mwili ukaharibika zaidi na zaidi.
Najua kuna MAKANJANJA watanivamia hapa, lakini sijali. MIMI NAPASUA UKWELI TU, tukana, bwata, lakini HABARI IMEFIKA.
Je kokeini vipi? anaweza kutumia?[emoji57][emoji57]Aache kabisa Kula vyakula vya sukari Kwa sasa...aache kabisa....
Idadi ya watu imeongezeka duniani kwa sababu ya kuboreka kwa huduma za afya,hapo zamani watoto wengi walikua wanafariki kabla ya kufikisha miaka mitano. Hii yote imesababishwa na tiba za kisasa.Unajua unaweza kuongea ukweli na watu wasiojia ukweli ulivyo wataona, uliochoandika sio mahala pake..
Imagine hapo mwanzo before madawa ya hospitalini jamii zilikuwa zina survive vipi? Walikuwa wanatumia tiba gani, je haya magonjwa yamekuja leo au yalikuwepo hapo kabla
THE LAND OF THE BLIND.Unajua unaweza kuongea ukweli na watu wasiojia ukweli ulivyo wataona, uliochoandika sio mahala pake..
Imagine hapo mwanzo before madawa ya hospitalini jamii zilikuwa zina survive vipi? Walikuwa wanatumia tiba gani, je haya magonjwa yamekuja leo au yalikuwepo hapo kabla
Haya mambo ya steve jobs sidhani ksma ni hoja yenye mashiko katika ishu ya msingi kama hii.Unamkumbuka Steve Jobs boss wa Apple? Cancer ya kongosho ilimuondoa. First time wameigundua akashauriwa operation pamoja na chemotherapy na ilikua anapona kabisa kwa sababu waliiwahi. Mzee aligoma akaenda fanya tiba mbadala za kihindi,hali ilipokua mbaya akarudi hospitali.
Madokta walimpambania mpaka akafanyiwa liver transplant,waliweza tu kumuongezea miaka michache ya kuishi. Kama ni tiba mbadala mtu asichane na tiba za hospitali,cancer sio wadudu ni seli za mwili zimekua immortal (hazifi). Unaziuaje kwa miti shamba pekee?
Duuuh nisiwe mbishi mkuu acha nijifunze katika hili na kusubiri shuhuda.Utaongeza kinga yake!
Hiyo siyo medical expert point of view hiyo no experience ya Hali ya juu!huwezi elezea mechanism ya dawa ya kienyeji inavofanya kazi!!
Mkojo umetibu vidonda vya tumbo ambavyo nyie mmeshindwa kuvitibu zaidi ya Omeprazole ya kutuliza,mkojo umetibu malaria sugu ten Ile haisikii dawa tena!!mkojo ni anti poison AND anti chemicals zenye sumu kama kama hizo!!
Kupona kidonda Cha upasuaji atapona coz Ile sumu ya mionzi itaisha na cell zitajiunda upya !!
Atumie doze hiyo ataleta mrejesho!!
Wauza dawa hawawezi pioneer ishu ya urine therapy hata kidogo mtakosa soko la dawa !
Pia warm water therapy hamuwezi!!
Mkojo mkojo Wala sio kwa bahati mbaya !I know what I mean from experience ya watu waliotumia hata wanaooza meno wanapona na meno kuwa strong!!
Apumzike kwa amani! Mlipatiwa matibabu ya hospitali? Imemsumbua kwa muda gani wenzangu
Yapata miaka miwili imepita tangu mke wangu alipogundulika ana saratani ya matiti, tulianza dozi ya CHEMOTHERAPY pale GOOD SAMARITAN CANCER HOSPITAL Ifakara, tulipatiwa jumla ya mizunguko 8 ya CHEMO, hali ilionekana kuwa nzuri ila ndani ya muda mfupi sana uvimbe ulianza tena.
Baada ya kuona uvimbe umeanza upya tulihamia Dodoma BENJAMIN MKAPA napo tulipatiwa chemo 4 kisha ukafanyika upasuaji ili kuondoa titi lililoathirika na saratani, upasuaji amefanya mwezi wa 4 mwaka huu.
Baada ya upasuaji hali ilionekana kama ipo vizuri, ila baada ya miezi ipatayo mi3 mgonjwa ameanza kusumbuliwa tena.
Anasumbuliwa na; MAUMIVU MAKALI SANA MAHALA ALIPOFANYIWA UPASUAJI
KIDONDA KISICHOPONA (kilianza kidogo sana, kama kiji upele, hatimae kikakua. Hakionyeshi dalili ya kupona.
Najua yote ni mipango ya Mungu, ila sina matumaini kama mke wangu anaweza kupona kwa sasa.
KUNA MTU ASHAWAHI KUUGUZA MGONJWA WA SARATANI naomba ushuhuda ambao unaweza nisaidia cha kufanya.
KAMA KUNA DAWA ZA TIBA MBADALA ULITUMIA ZIKASAIDIA, NAOMBA MSAADA PIA.
Kwa sasa mgonjwa yupo tu nyumbani tunasubiri neema ya Mungu
Ushauri wowote pia napokea.
Sio juzi Wala Jana mkuu alifarik 2002 ni story ndefu na alichoma mionzi ocean road baadae akakatwa Titi sikia tu unajua mpaka funza walikua wanatoka..Alifanikiwa kuchoma? Au alifariki kabla hajachoma mionzi
Apumzike kwa amani
Usimpe moyo hawezi kupona Cancer na Ina stages zakePole sana mkuu,sitaki hata kuisikia ugonjwa huu,Mungu atamponya tu
Be strong 💪 man MUNGU NI MWEMA WAKATI WOTEEEEEDaah, sadly ni kwamba tumefunga ndoa mwaka 2020 mwezi wa 9, mwaka 2021 akaanza kuumwa mpaka muda huu.
=Pole, lakini lazima NIKUAMBIE UKWELII.
Hiyo unayoiita TIBA MBADALA ndio TIBA HALISI, Mimea ya asili yenye nguvu ya kukuponya na kuhuisha mwili dhidi ya maradhi ya aina yoyote.
Hayo MAKEMIKALI ndio yalipaswa kuwa TIBA MBADALA. Ukishafeli kutumia MIMEA SAFI (kitu ambacho hakiwezekani) sasa ndio ukajijaze MAKEMIKALI MACHAFU na MIONZI.
Mkiambiwa MNABEZA, ooohh MIMEA NI UCHAWI! Haya sasa!!!!! Umerudi kule kule!!!
Oooohh, wewe hujui sayansi, wewe mchawiii!! Sayansi yenyewe ndio hiyo, umelipa MAMILIONI ukajazwa MIONZI LUKUKI mpaka mwili ukaharibika zaidi na zaidi.
Najua kuna MAKANJANJA watanivamia hapa, lakini sijali. MIMI NAPASUA UKWELI TU, tukana, bwata, lakini HABARI IMEFIKA.
Kweli kabisa tuombeane mwisho memaKila mtu kwa zamu yake na kila mtu atapatilizwa kwa namna yake. Kuna msemo siku hizi nimeanza kuuelewa, "tuombeane mwisho mwema"!
Pole sana kwa muuguzi na pole nyingi sana kwa mgonjwa, ni kipindi kigumu nadhani kuliko vyote katika maisha yetu.
Hayamama yangu pia amefariki kwa uo ugonjwa.. tumeenda mpaka india apollo akafanyiwa surgery na kuchomwa mionzi.
wahindi walituambia ukweli cancer ina tabia ya kurudi rudi. watu wa tiba asili kuwa nao makini sana ni wapigaji wanawaza kupata pesa zako tu huku wanajua uhalisia hawawezi kutibu.
epuka sana waganga wa kienyeji na watu wa tiba asili wanapenda sana kuvuna pesa za watu wenye shida za ki afya