Kansa ya matiti inammaliza mke wangu nikiwa nashuhudia, sina la kufanya. Sijui kama naweza kusahau hili

Ahsante ndugu nitafanya hivyo pia.
 
Kansa asili yake ni hypertension kwenye mfumo wa Seli,
Kuna High blood pressure, High sugar, Kuna Cancer , zote hizi ni Fire toxin high , Ila inategemea ni wapi

Fire high kwenye mfumo wa Moyo ni = High blood pressure , kwa maana nyingine interaction / communication kati ya Hyper & Hypo hakuna , ndipo sumu hutokea Yaani Hypertension / Fire toxin high / Hyper = Fire energy property & Hypo = Water energy property

Katika matibabu yake kwa Natural:
1. Lazima ku clear fire toxin / iwe Cancer , Presha au Kisukari
2. Lazima kurudishia Hypo / Water energy property Kwenye system husika , ili Fire isipande juu kuliko kanuni tunasema Energy balancing / Replenish formula ; hii inafanya mfumo unakuwa na afya Kama mwanzo na ugonjwa haurudi tena !

Chemical treatment ;
Mfano : Presha ; wanashusha tu ; lakini hawarekebishi mfumo kurudishia Energy iliyoshuka , ndiyo maana ukiacha dawa kidogo Presha inapanda zaidi , hakuna Water energy ambayo ndiyo regulator itakayofanya Fire iwe kwenye usahihi wake , ndiyo maana unaambiwa utumie dawa maisha yako yote , same na Kisukari ,

KANSA :
Unapotumia mionzi una apply fire zaidi , zile Seli za Kansa zinakufa , na za kawaida pia ,maana Moto umezidi ;
Kumbuka Kansa ni Sumu moto kwenye Seli na Nishati Maji kuwa chini sana kusababisha Kansa

Okay umeongeza mionzi au Chemotherapy = More fire toxin
Utajisikia vizuri kwa muda tu , then kwa sababu bado Nishati Moto bado iko juu zaidi , na Nishati maji haijarudishwa ili
Kuondoa ile Cancer ground kufanya Energy kuwa balanced , ndiyo maana Kansa hurudi tena , tena kwa mateso makubwa ,

Ndiyo maana tunasema TIBA ya Chemical ni dharura ,sio uponyaji !

Ukija kwenye Natural hasa kwenye TIBA ya kwetu ambayo ni namba 1 duniani , hatubahatishi , tunazingatia kila kitu ili kuleta uponyaji wa Kudumu kwa kila Ugonjwa !
Mimi nipo Tanzania Kama tawi la tiba asili namba moja duniani kutoka Marekani,
Ugonjwa wowote bila kujali jina la ugonjwa we wasiliana nami
Utatibiwa kikamilifu !
Cont: +255757577995
 

Attachments

  • D979381D-14A2-4551-9F84-6227C1309144.jpeg
    108.1 KB · Views: 9
Mkuu ushauri utakuwa mzuri zaidi kuliko masimango
Eti kama una akili…
Kwani shida yako ni nini kwa huyu mtu khe

Si uache kumshauri kama anakukera
Muone huruma huyu kwa kuuguliwa kwanza..
 
Pole sana
Mungu amfanyie wepesi
Usikate tamaa endelea kumpambania..
 
Mkuu ushauri utakuwa mzuri zaidi kuliko masimango
Eti kama una akili…
Kwani shida yako ni nini kwa huyu mtu khe

Si uache kumshauri kama anakukera
Muone huruma huyu kwa kuuguliwa kwanza..
Tatizo MAKANJANJA mpo wengi sana humu lazima niwapige nondo za kisogo kwanza kabla sijatoa ushauri.

Ushauri unakuja baadaye baada ya kula kisago.
 
Pole sana brother na Mungu akutie nguvu, niliwahi kusikia sehemu kuwa tunda la stafeli lina msaada mkubwa sana kwa wagonjwa wa saratani.
Moyo wa tunda wa stafeli, linaliwa kawaida au linasagwa juice,Kisha majani ya mstaferi,parachichi,mlimao,mchungwa na mchai chai yanachemshwa bila kutia Radha yoyote mgonjwa anakunywa asub jion kama chai yake mfululizo mwezi mmoja ukiambatana na moyo wa stafeli! Inasaidia pia
 
Muda wa ushauri umewadia mkuu.
1. Aache kula nyama

2. Aache kula vyakula au vinywaji vya kusindika kama maziwa, blueband, soda, juisi, nk.

3. Asitumie sukari mahali popote pale.

4. Mlishe ugali wa mtama / uwele pamoja na majani mengi sana kila siku.

KUONDOA SUMU MWILINI, UTANDO NA UTE UTE KWENYE DAMU

1. Atumie juisi ya limao kila siku asubuhi na jioni, malimao makubwa mawili kwa kila juisi.

2. Atumie vitunguu swaumu vibichi, vitwange bunda zima au visage kwenye blenda anywe kama juisi kila siku.

3. Anywe maji mengi kila siku. Mengi ya kutosha angalau lita nne.

HUDUMA YA KWANZA

1. Chemsha majani ya mpera anywe kila siku asubuhi na jioni. Hii ni kiboko.

2. Tengeneza juisi ya karoti anywe kila siku. Hii ni kiboko haswa.

TAHADHARI

1. Kama unaweza kupata maji ya kisima ambayo hayajawekewa madawa ni vizuri sana. Chemsha hata dumu kubwa unaweka hapo anakuwa anakunywa.

2. Hakikisha vyakula vyote au vinywaji vyote anavyotumia havina makemikali.

NJIA YA KIVITA

1. Kama amewahi kubandikizwa meno bandia au machuma kwenye fizi mwambie akayang'oe.

2. Kama ana vyuma kwenye njia ya uke wake au kwenye uterus mwambie akatoe.

3. Kama anatumia madawa ya aina yoyote ya hospitali mwambie aachane nayo.

4. Kitu chochote ambacho ni ARTIFICIAL alichobandikizwa hospitalini mwambie akakitoe.
 
Pole sana kaka..!kiukweli maradhi hayo yakimpata mtu aisee tena wa mama tena ziwa Bro!sikukatishi tamaa wala kukuvunja moyo juu mkeo.
NAKUPA USHUHUDA WA KWELI.
Dada angu alikua na na tatizo hilo na tulipita hatua hizo zote pale onceanroad,tulipambana vya kutosha rkn wapi hatima dadaangu amefari tar17/11/2023.kiukweli ogonjwa huo ni agharabu sana mtu kurudi ktk hari yake ya kawaida.kubwa ishinae kwa upendo mvumilie.kwa mola hakuna linaro shindika anaweza kumponya na kumuongoa mja wake.tuzidi kumuombe apone
 
Samahani mkuu, mtu mwenye umri gani yupo kwenye hatari ya kupatwa na huu ugonjwa?
 
SHukran sana mkuu.

Nilikuwa na hofu isijekuwa hivyo vyakula navyo tumedanganywa.
Kuna mzee mmoja wa kuitwa Dr. Sebi alitolea ufafanuzi kuwa vyakula vya alkaline ni tiba kwa magonjwa mengi hasa saratani.
 
Mkuu pia nenda kwenye makanisa ya maombezi
Hapa ndiyo jibu huku anapata hivyo vyakula na maombi tena kanisani sio kuita Mchungaji sijui Mtumishi nyumbani awe anaenda huko huko kanisani, Mungu ni mwenye rehema hashindwi na kitu akitaka kutukuzwa muujiza utafanyika tu.
 

Steve Jobs na hela zake zote alijaribu tina mbadala akaepuka mionzi ila kaishia kuaga dunia.
Ni hatari sana ila pole kwa mleta mada, nashauri wajaribu Kanisa la maombezi.
 
Pole sana kaka na homgera kwq kumjali mkeo hio ndo kwa uzima na maradhi,wakati nipo South Africa nilipata Rafiki mswaziland alipata cancer ya maziwa ila alipona anasema alitumia majani ya mti was mstafeli anachemsha majani na kunhwa kama chai sukari asitumie kabisa pia Kuna mtu akaniambia majani ya bangi yanachemshwa na alcohol unapata mafuta marijuana oil unatia kwenye juice drops inatibu kajaribu bila kusahau uponyaji unatoka kwa Mungu muombe.namuomba Mwenyeezi Mungu ampe uponyaji mkeo.
 
Steve Jobs na hela zake zote alijaribu tina mbadala akaepuka mionzi ila kaishia kuaga dunia.
Ni hatari sana ila pole kwa mleta mada, nashauri wajaribu Kanisa la maombezi.
Acha ubishi we kanjanja wa Kenya! Hiyo mionzi ndiyo iliyomfikisha hapa, mwili wote umeoza kwa ajili ya moto wa mionzi.

Halafu ati unamwambia aache kufanya jitihada akasubiri miujiza kanisani, una kichaa?

Who is steve jobs!? Ndo nani? ni role model wako wa huko Kenya?

Unaweza ukawa na pesa na ukawa mbumbumbu vile vile, kama wewe unaabudu miujiza badala ya jitihada binafsi.
 
Km haijaenea mwilini hua wanakata ziwa ili kuepusha isienee zaidi wao wanasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…