Sawa naitakaNiitafuta nitaweka maana ni kitambo sana hii discussion ilifanyika
Na posts ni nyingi sana
Bichwa komweUkitulia una madini sio poaa!CHEMOTHERAPY haiwezi kukuponya KANSA, inakuongezea KANSA. Ni kama unajibanika kwenye TANURU LA MOTO.
Achana na CHEMOTHERAPY, angalia chakula chake cha kila siku ni chakula gani?
Kama una akili timamu, ungelima hapo bustani upande mchicha mwingi ambao hauna MAKEMIKALI, pamoja na KAROTI, hiyo iwe FIRST AID yake.
MAUCHAFU kwenye damu yake pia, SUMUU, UTANDO, MUCUS, afanye namna ya kuondoa yote hayo. DAMU CHAFU.
PAMBANA SANA, ATAPONA KAMA UNA AKILI TIMAMU.
Ukiendelea na MAKEMIKALI na hizo CHEMOTHERAPY utamuangamiza.
Pole sana.Pole, lakini lazima NIKUAMBIE UKWELII.
Hiyo unayoiita TIBA MBADALA ndio TIBA HALISI, Mimea ya asili yenye nguvu ya kukuponya na kuhuisha mwili dhidi ya maradhi ya aina yoyote.
Hayo MAKEMIKALI ndio yalipaswa kuwa TIBA MBADALA. Ukishafeli kutumia MIMEA SAFI (kitu ambacho hakiwezekani) sasa ndio ukajijaze MAKEMIKALI MACHAFU na MIONZI.
Mkiambiwa MNABEZA, ooohh MIMEA NI UCHAWI! Haya sasa!!!!! Umerudi kule kule!!!
Oooohh, wewe hujui sayansi, wewe mchawiii!! Sayansi yenyewe ndio hiyo, umelipa MAMILIONI ukajazwa MIONZI LUKUKI mpaka mwili ukaharibika zaidi na zaidi.
Najua kuna MAKANJANJA watanivamia hapa, lakini sijali. MIMI NAPASUA UKWELI TU, tukana, bwata, lakini HABARI IMEFIKA.
Ufumbuxi vipi hapo sasaPole, lakini lazima NIKUAMBIE UKWELII.

Pole sana kwa changamoto unayopitia mkuu. Mungu mwingi wa rehema akufanyie wepesi.Yapata miaka miwili imepita tangu mke wangu alipogundulika ana saratani ya matiti, tulianza dozi ya CHEMOTHERAPY pale GOOD SAMARITAN CANCER HOSPITAL Ifakara, tulipatiwa jumla ya mizunguko 8 ya CHEMO, hali ilionekana kuwa nzuri ila ndani ya muda mfupi sana uvimbe ulianza tena.
Baada ya kuona uvimbe umeanza upya tulihamia Dodoma BENJAMIN MKAPA napo tulipatiwa chemo 4 kisha ukafanyika upasuaji ili kuondoa titi lililoathirika na saratani, upasuaji amefanya mwezi wa 4 mwaka huu.
Baada ya upasuaji hali ilionekana kama ipo vizuri, ila baada ya miezi ipatayo mi3 mgonjwa ameanza kusumbuliwa tena.
Anasumbuliwa na; MAUMIVU MAKALI SANA MAHALA ALIPOFANYIWA UPASUAJI
KIDONDA KISICHOPONA (kilianza kidogo sana, kama kiji upele, hatimae kikakua. Hakionyeshi dalili ya kupona.
Najua yote ni mipango ya Mungu, ila sina matumaini kama mke wangu anaweza kupona kwa sasa.
KUNA MTU ASHAWAHI KUUGUZA MGONJWA WA SARATANI naomba ushuhuda ambao unaweza nisaidia cha kufanya.
KAMA KUNA DAWA ZA TIBA MBADALA ULITUMIA ZIKASAIDIA, NAOMBA MSAADA PIA.
Kwa sasa mgonjwa yupo tu nyumbani tunasubiri neema ya Mungu
Ushauri wowote pia napokea.
akafanye nn huko? umesoma comments za wadau?Mpeleke Ocean road
πππππππππMpeleke Ocean road
Habari za asbh ,mliotaka na nyie namba za yule babu mliosema anatibu Kansa na nyie mnataka namba zake mzisave izo apo ,mwanachemba alinitumia 0626896577Sawa naitaka
Alishasema kuwa alishakatwaPole sana kwa changamoto unayopitia mkuu. Mungu mwingi wa rehema akufanyie wepesi.
Kama ikiwezekana ondoa ziwa lote halafu apigwe mionzi mkuu. Saratani ya titi is very challenging and stubborn.
Natumaini Mungu atamponya mkeo kwa uwezo wa roho mtakatifu. Amina.
Alikoanzia kupata tiba si sehemu sahihiakafanye nn huko? umesoma comments za wadau?
Hata stage 2 inapona mkuu. Tatizo ikifika stage 3 na 4 ndio inakuwa shida. Dada yangu amepona cervical cancer kwa tiba ya mionzi ikiwa stage 2.Pole sana mkuu, dada yangu aliteseka sana na kansa ya shingo ya kizazi alipofikia stage 3 mpaka mauti.
Kansa inapona ikiwa imewahiwa kwenye stage 1 kama alivyoiwahi kikwete.