Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kabla ya kumpa chemo. walitakiwa waanze na radiotherapyGOOD SAMARITAN CANCER HOSPITAL, hospital maalumu kwa ajili ya kansa ipo ifakara.
Benjamin mkapa napo clinic ya kansa ipo
Sijui sio sehem sahhihi kwa maana gan?
Ahsante sana mkuuMkuu
Chukua mmea wa cactus chukua na kilo tatu ya unga wa mbegu za parachichi chemsha maji lita tano kisha chuja yapoe kidogo anywe nusu lita ahsubuhi na jioni. Hakikisha anatumia mwezi mzima kisha tuletee matokeo kama anaanza kujisikia vyema.
Rudia zoezi kwa miezi mitatu naamini utaanza kuona matokeo. Akipata nafuu okoa maisha ya wengine kuwaambia ukweli. Usilipie huu ushauri
Kabla ya kumpa chemo. walitakiwa waanze na radiothe
Hapana mkuu usikaririKabla ya kumpa chemo. walitakiwa waanze na radiotherapy
Sawa daktari, unamsaidiaje sasa?Hapana mkuu usikariri
Inaweza kuanza yoyote au kwa pamoja kwa kupokezana
Ebu jaribu kufika pale, nimezunguka sana paleHawakufanya hivyo mkuu
Pole kwa unayopitia ndugu. Mungu akufanyie wepesi kwa kweliDaaah! hii dunia acheni tu!
MGONJWA WANGU MARA ANAKUA KATIKA HALI YA KULETA MATUMAINI, MARA GHAFLA LINAIBUKA TATIZO JINGINE !
SASA MOYO UMEANZA KUMSUMBUA, MAPIGO YANAENDA KASI ISIVYO KAWAIDA
PIA DAMU INAPUNGUA SANA.
MARA NYINGINE ANAPATA CHANGAMOTO YA UPUMUJI.
Sijui ndo side effects za CHEMOTHERAPY
Kuna namna ya kujua stage? Wakati tunaigundua kwa mara ya kwanza, mwanzo mwa mwaka 2022 walisema ni stage 2 or 3Kwanza kabisa pole sana mkuu...... am going through the same issue
Hapo jambo la msingi ni ipo stage gani?
Kuna stage ikifika basi ni miujiza tu inatakiwa kwa Chemo na mionzi
Tiba mbadala zinatumika sana lakini so far hakuna ushahidi wowote kwamba zimewahi kumtibu mtu akapona.....
Unaweza kujaribu lakini kuna matapeli wengi sana na utatumia hela nyingi sana pia ila hakuna uhakika
Mtafute memba anaitwa Mzizikmavu anadai anajua tiba yake
Hakuwa na Kansa yule. Kansa isikie tu.Pole sana mkuu, dada yangu aliteseka sana na kansa ya shingo ya kizazi alipofikia stage 3 mpaka mauti.
Kansa inapona ikiwa imewahiwa kwenye stage 1 kama alivyoiwahi kikwete.
Ndio mkuu kuna namna wanapima kujua ipo stage ganiKuna namna ya kujua stage? Wakati tunaigundua kwa mara ya kwanza, mwanzo mwa mwaka 2022 walisema ni stage 2 or 3
AiseeNdio mkuu kuna namna wanapima kujua ipo stage gani
Kuna stage 0 hadi stage 4
Stage zinatokana na namna ugonjwa ulivyo sambaa kutoka kwenye uvimbe katika nyonyo na kwenda kwenye sehemu zingine za mwili
Kadiri stage inavyozidi kuwa kubwa maana yake kansa imesambaa zaidi
Na kadiri stage inavyokua kubwa ndio ugumu wa matibabu unaongezeka
Stage 4 is almost haitibiki maana inakua imesambaa sana hadi kwenye organs hatari
Wifi yangu alikufa kwa ugonjwa huo maumivu yake aliyokua anayapata sijui kwakweli yy ndo aliweza kuyasimulia...poleni sana..Amen mkuu
Hali kwa sasa ni tete zaidi
Hebu mtaalam tuambie ,kuna aina ngapi ya cancer za matiti? Wewe unaweza kutibu aina ipi ya cancer ya matiti?
Asante mkuu...vipi hali ya mgonjwaDuuh poleni sana