Kansa ya matiti inammaliza mke wangu nikiwa nashuhudia, sina la kufanya. Sijui kama naweza kusahau hili

Haya, endeleeni kubembelezana.

Basi POLE BABA EEEH, POLEEE UGUZA POLEEE, YESU ANAPONYA.

TUMSUBIRI YESU ASHUKE ATUPONYE, ATUNYAKUE KANISA LAKE.
 
Pole sana brother na Mungu akutie nguvu, niliwahi kusikia sehemu kuwa tunda la stafeli lina msaada mkubwa sana kwa wagonjwa wa saratani.
 
It's pain full 😔😔
Ilimuondoa 2000's mama angu mkubwa alipo enda ocean road kuchoma mionzi Kwa kansa ya matiti...
 
Pole sana mkuu,sitaki hata kuisikia ugonjwa huu,Mungu atamponya tu
 
Pole sana mkuu
Chukua huu ishauri utanishukuru
Chukua majana ya stafeli changanya na maji masafi lita5 na majani yajae ndoo ndogo ya lita 10. Maji yachemshe hadi yawe ya moto then chukua hayo maji nusu lita saga na majani yamejaa chupa ya blender hadi majani na maji yaishe. Yaache yapoe mdogo mdogo masaa 12. Xhuja them mgonjwa yawe ndo maji yake ya kunywa. Unaweza kuongeza limao kuweka ladha na kamwe usiongeze kitu kingine ila kama ladha itakushinda basi ongeza tunda lenyewe ondoa tu mbegu blend ba maganda yake
Tumia hadi utakapopata nafuu
 
Sawa ndugu, tusaidiane kama unajua lolote
 
Upo sahihi, umeongea ukweli madawa ya hospital ni kuongeza majanga, lakini hukupaswa kutumia lugha nzito kama hii kwa mtu ambae anapitia kipindi kigumu. Jamaa anahitaji faraja zaidi na msaada, kuuguza mpendwa wako ni jambo zito saana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…