Tunaweza kuwa tunalalamika kuwa Kansa ya Shingo ya Uzazi imeenea sana, pengine ikawa inasababishwa na wanaume.
Najiuliza kama una vijidudu vya Kansa Ya Tezi Dume, alafu yale maji-ute yanayosafirisha mbegu haviwezi kuweka makazi kwenye UKE? Na huu utaratibu wa kupiga kavu ni kawaida ndani ya uhalali.
Madaktari Sisitizeni Uchunguzi wa Hili.
Maana kama kuna tetesi kuwa mbegu hunawirisha au kukondesha mwanamke, je hakuna uhusiano wa vijidudu navyo kuwamaliza kina mama wakati wanaume wanachelewa kupata dalili za kansa?
Nawasilisha.