Kansiime ni shida

Ethos

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2015
Posts
2,294
Reaction score
2,083

Kama Speed limit ni 80KPH basi tui import magari yenye 80KPH
 
Ni kweli kabisa,hakuna sababu ya kununua gari ya speed zaidi ya 80..
 
hahahaha hana tofauti na wale panya buku wawili wa Nigeria, Ali & Ukwa na yule Baba yao. Wale nao wamepinda Aisee
 
Ni kweli kabisa,hakuna sababu ya kununua gari ya speed zaidi ya 80..
Hahaha... Traffic wangekosa kazi mkuu na zile pesa za viatu
 
hahahaha hana tofauti na wale panya buku wawili wa Nigeria, Ali & Ukwa na yule Baba yao. Wale nao wamepinda Aisee
Yeah.. Hapo anafuatia Joti, Omondi...
 
Hahahaha afisa kakutana Na kimbembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…