Kanumba anatosha!!!!!

KIMALIKE

Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
46
Reaction score
4
Jamani magazeti ya udaku tumeshoka kuandika abali za kanumba sio ishu na ii ya leo yakusema kaonekana tabata mmezidi mwasheni watu bado wana majonzi alafu nyie mna andika uongo uo mjue kua watu wana umia sana acheni apumzike kwa amani.kwanzia sasa fungeni kabisa kuandika kuusu marehem yaani nyie amuogopi ata mungu.
 
Wanaweza wakandika abali nyingine tu na sio za k ata ivyo wajue ata ao wanao wauzia wataacha kununua magazeti yao kwani awapendi izo abali, zinawatia uchungu.
 
Wanachefua sana.
Watu wanamzungumzia mpaka kufuru wanafikia hata hatua ya kumuona au kumfananisha kama mungu mtu.

Watu kama hawa ni hatari sana hapa dunian.

Kwani yeye hakustahili kufa?? Ikiwa MUSA,YESU MUHAMED walikufa yeye kanumba asife kwan yey nani?
 
ila hawa jamaa wamezidisha jaman utadhan walikua wanasubiri afe khaa,hebu wamwache apumzike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…