Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muigizaji Maarufu hapa nchini Steve Kanumba leo anazindua filamu yake mpya katika ukumbi wa kizota uliopo mkoani Kigoma. Wadau wa sanaa hii mnaombwa mjitokeze kwa wingi sana katika kumuunga mkono msanii huyu