Kanumba Mgeni rasmi kwenye mahafali..lol

Kanumba Mgeni rasmi kwenye mahafali..lol

Mdogomdogo hadi bungeni..
Safari ya maili mia ilianza na hatua ya kwanza...
Polepole ndio mwendo...
Penye nia pana njia....
Mwendapole hajikwai
 
Mkuu hii avatar yako ina maanisha nini?
 
Samaki mkunje angali mbichi

Hahahaha! Hahahaha! LOL! Nimekumbuka enzi hizo dingi akiwa anapiga mtungi akatoka akaacha kabia mezani, nilikuwa naimendea kama fisi anavomendea mzoga. Na matokeo yake ndio haya!
 
Samaki mkunje angali mbichi

Nashukuruni kwa majibu haya, mtoto akikuwa sianakuwa sokomoko?

Hahahaha! Hahahaha! LOL! Nimekumbuka enzi hizo dingi akiwa anapiga mtungi akatoka akaacha kabia mezani, nilikuwa naimendea kama fisi anavomendea mzoga. Na matokeo yake ndio haya!
 
Back
Top Bottom