Raimundo JF-Expert Member Joined May 23, 2009 Posts 13,416 Reaction score 12,618 Jul 21, 2011 #41 Kama aliyeandika ni Kanumba mi nampa Big up, coz a yr ago ucngeelewa chochote. Hii habari inasomeka na kueleweka bila hata kuirudia. Big up Kanumba, anatumia nguvu kujifunza na inamlipa.
Kama aliyeandika ni Kanumba mi nampa Big up, coz a yr ago ucngeelewa chochote. Hii habari inasomeka na kueleweka bila hata kuirudia. Big up Kanumba, anatumia nguvu kujifunza na inamlipa.