Kanumba na ramsey

Nancheto

Member
Joined
Mar 4, 2011
Posts
25
Reaction score
4
Wanajamvi katika siku za hivi karibuni nilipata taarifa kwamba Ramsey Noah na kanumba wanafanya movie ya pamoja.sasa nataka
kufahamu kama hiyo movie iko tayari au la.Tafadhali naomba munijuze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…