victorjane
Member
- Dec 2, 2010
- 23
- 2
hivi jamani hivi wanavyofanya akina kanumba na ray ni movies au michezo ya kuigiza?mbona hawana mvuto kabisa?kuna siri gani juu ya wao kupewa airtime ya kutosha na media zetu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe yako iko wapi? Kwa hiyo ukikosoa lazima na wewe uwe na movie?? Acha hizo bwanaacheni wivu wa kike, ray na kanumba wanajitahidi sana. Wote mnaowananga mbona hamjaonekana hata kwenye movie moja ili tuone ujuzi wenu? Hivyo!!