Kanumba ndani ya Big Brother House 2009

NEMA

Member
Joined
Jun 22, 2009
Posts
16
Reaction score
0
WANAJAMII MMEMUONA KANUMBA NDANI YA NYUMBA? LUGHA INAVYOMSUMBUA NA ANAVYOJITAHIDI KUJIFWAGILIA KUWA YEYE NI CELEBRITY? HEBU MCHAMBUENI KIDOGO.... mfano pale BIG alipowataka waandae mapokezi kwa housemate na akawapa dakika kumi za kufanya hivyo... Celebrity Kanumba akasema " so Big want us to make hurry" eish!
 
siyo kosa lake kwani kiiengereza si lugha yake ya kuzaliwa.ningeona ajabu kama kisukuma au kiswahili kingempiga chenga
 
Maisha ubishi...!! Atajua tu huko huko wabongo si unawajua wakikomalia kitu hata kama hawakijui.
 
Wacha azisake hizo dola bana, anaweza furukuta akazibeba kama Richard ati.... Mwampamba na Richard wote hawakuwa na cha maana lakini waliyawezea...mmmh humo jumbani pawenyewe bwana.... Kila la heri Kanumba.
 
sure maisha ubishi,but akitoka amepandisha CV yake bilaaa,well kutokijua kiingereza si kubaya,but muhimu ni uelewa wa mabo pia,hata ukiyumba lugha but uwe na point na maana.so pamoja na yote amewapiga gap wasanii wote wa tz why wao hawakuchaguliwa?kwani amewahonga endemol? nop ni jitihada zake,nyie na degree zenu mnaogopa kufanya km yeye but the guy is making than most of us!!na kutojua kwake kingreza but yupo juu mazee tukubali hilo!!
 
Mwaka huuu hakuna mbongo....mimi siioni maana yake ..ila mawazo yangu.....haina maana kabisa kwangu
 
Dah! Ila kuna vigezo gani vya kuita watu kama hawajui lugha kama kingereza?
 
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Who is your favourite housemate so far?[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Kevin[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
18.87 % (127)
[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Quinn[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
14.86 % (100)
[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Jeremy[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
12.04 % (81)
[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Hannington[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
10.40 % (70)
[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Itai[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
9.66 % (65)
[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Kaone[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
8.62 % (58)
[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Edward[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
7.13 % (48)
[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Wayoe[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
5.94 % (40)
[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Phil[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
3.86 % (26)
[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Teddy[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
3.71 % (25)
[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Yacob[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
2.97 % (20)
[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Leonel[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
1.93 % (13)
[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Total votes: 673[/FONT]

Where is Kanumba in the BB House chart above?
 
 
Kiingereza sio our mother tongue, tangu tunazaliwa tunazungumza kama si lugha ya baba na mama, basi ni kiswahili kwa kwenda mbele. Hapa ni vyema waandaaji wakaangalia vyema vigezo vyao vya mwakilishi katika shindano hilo, ila kwa ninavyowafahamu wabongo atagangamala mpaka kitaeleweka tuu.
 

Kwani wewe hujui kuwa kingereza ni "JANGA LA KITAIFA"?
 
 
Jamani habari zilizopo chini ya kapeti ni kwamba wanawake wanaweza kuingia Jumapili ijayo...so sit down relax...make sure u ve a big pop corn stock that would cover 3 months..hehe
 
Kanumba yupo waungwana na jana alikuwa na shati la pink na khati suruari
 
kwa nilivyosoma news mbalimbali kanumba ni mmoja kati ya waalikwa kwenye uzinduzi, hilo la kuwa mwakilishi wa tz sina uhakika nalo, so mtoa mada bado tunahitaji maelezo yako juu ya hili.
 
Mwache ajaribu bahati yake, itakuwa furaha kama akifanikiwa na itakuwa huzuni akishindwa. Hayo mapungufu anaweza kuwa nayo na akafanikiwa vigezo vingine tumtakie kila la kheri?
 
Aisee hilo nalo neno! Na je ni kweli wema naye yupo huko?
 
Aisee hilo nalo neno! Na je ni kweli wema naye yupo huko?


Mtake msitake, kama hujui wala huwezi kuwasiliana ndani ya lile jumba uwe ni mualikwa ni AIBU. Afadhali asingekubali mwaliko!

kANUMBA NI MWALIKWA SIO MSHIRIKI, hawezi kushiriki maana hajui KIINGEREZA.
 
Kweli kiingereza ni Janga la kitaifa lakini kama unajijua hujui bora kukaa kimya na kutojiabisha.

Jana kwenye Diary room na Biggie, Kanumba alikuwa haelewi maswali akawa anauliza na kusema Biggie anazungumza "difficult word"!

Ikabidi Biggie awe anarudia mara mbilimbili maswali alipoona jamaa anaishia yeah yeah na Ok Ok akamuachia.

Sisemi kutojua Kiingereza ni ujinga LA HASHA. Ila kama unajua hujui na hujui bora ukae pembeni.
 
Safi sana Kanumba umetuwakilisha vizuri wasukuma na watanzania...! teh teh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…