Sioni kama lugha ni tatizo, swala zima ni uelewa n mada itakayokuwa discussed kipindi hicho. Hii lugha ni ya wenyewe kwani kuna watu wamemaliza masters degree and PHD lakini ni vigumu kujieleza kwa kingereza.
Tumpe mda, natumai ana nia dhabiti na upeo wa kuchanganua mambo.
Hakuna aliyesema lazima uongee kingereza fasaha au uwe ndo best english language speaker ndo uweze kushiriki, hapa tunazungumzia basic english, nahisi hujaangalia BBA ndo maana unadhani watu wanamshambulia kanumba. Richard alikuwa na uwezo wa kuwasiliana na akaeleweka, kanumba hata kujadili tu sentensi moja hawezi, akiulizwa swali anacheka tu maana haelewi ajibu nini
Mfano mzuri ni pale alipoitwa kwenye session na bigie, kila swali akiulizwa na bigie haelewi kila akiulizwa anasema what au ok, sasa hii nini jamani mpaka bigie akaamua amruhusu tu aondoke maana walikuwa hawaelewani kabisa, na mwisho anasema bigie "speak difficult word"
mh
kanumba siyo mshiriki.Hata umtetee unamdanganya tu. FYI atatolewa mapema sana. Anatutia aibu tu wabongo kule.
FP na wakuu wengine, heshima mbele!
Nasikitika kuwa kuna watu wanachanganya mambo hadi mjadala unarefushwa pasipo sababu. Elimu siyo lugha ila hakuna elimu bila lugha. Ndiyo maana vijana wengi wa bongo wanadunda mzigo vizuri tu kama wenzao wa nchi zinazojidai kuongea kiingereza vizuri ingawa wengi wetu lugha (namaanisha kizungu) ni mgogoro. Kama mtu unakaribishwa kwa heshima yako, basi hao waliokukaribisha lazima wahakikishe mnaweza kuwasiliana. Hapa unao uamuzi. Kuongea lugha yao (kama unaimudu) au kuwambia watafute mkalimani. Hakuna sababu ya kwenda kujichora kwa kuongea lugha ambayo huielewi vizuri na hasa hasa pale unapokuwa umepewa nafasi kwa heshima yako. Kufanya hivyo ni hatari kwani unaweza kutamka neno moja tu na kuiporomosha heshima yako yote.
Mbali na lugha, vijana wengi tuna tatizo la uelewa. Mtu (mfano kijana kamaliza kidato cha 6, HGE) anaulizwa tofauti kati ya Bukoba na Kagera, Songea na Ruvuma au Sumbawanga na Rukwa hajui! Kwa hiyo tunayo kazi kubwa sana ya kupanua uelewa wetu. Bahati mbaya vijana wengi hatupendi kujisomea, siyo lugha tu bali hata kutafuta maarifa ya kawaida!
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Who is your favourite housemate so far?[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Kevin[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]18.87 % (127)[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Quinn[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] 14.86 % (100)[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Jeremy[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] 12.04 % (81)[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Hannington[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] 10.40 % (70)[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Itai[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] 9.66 % (65)[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Kaone[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] 8.62 % (58)[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Edward[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] 7.13 % (48)[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Wayoe[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] 5.94 % (40)[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Phil[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] 3.86 % (26)[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Teddy[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] 3.71 % (25)[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Yacob[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] 2.97 % (20)[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Leonel[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] 1.93 % (13)[/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Total votes: 673[/FONT]
Where is Kanumba in the BB House chart above?
Hata umtetee unamdanganya tu. FYI atatolewa mapema sana. Anatutia aibu tu wabongo kule.
Ndugu yangu mbona wanihukumu bure? hujasoma post yangu kikamilifu, sijamtetea Kanumba please read my posts ziko zaidi ya nne ndo ujue nimemtetea au la
heshima mbele
Sawa mkuu.
Nilikuwa nasoma blog moja hivi....inaitwa Egoimagekenya....naona imetoa list ya housemates na kwamba housemates wa kike wataingia ijumaa...na hii list ya sasa ya housemates w akiume hakuna kutoka Tanzania...uwezekano representative wa kutoka tanzania atakuwa mwanamke...ila kanumba na wenzake 3 ni celebrities ambao wako humo ndani kuwakaribisha tuu hao housemates celebrities wengine apart from Kanumba ni Nohle Thema,Tuvi James na Khanyi Mbau....
Utani: Akicomment omarelias wengine humu husema tatizo madrasa sasa huyu tatizo seminari au,teh teh?