Kanumba ndani ya Big Brother House 2009


Dark City it will not be practical for all Tanzanians travelling abroad to go with translaters.I have met a lot of Tanzanians educated at home now working in Sadc countries and they all agree that at the beginning their communication skills were below par and they had to improve to cope.As long as we do not accept that we have a problem it will always be difficult to rectify.
 
Mimi sioni faida ya malumbano haya na ninamshauri Kanumba na celebrities wengine wasiojua kingereza wachukue hata kozi fupi fupi hawataloose kitu sana sana watagain hasa ukizingatiwa wanakwenda seheu mbalimbali so kuepuka kuwa embarraced ni vema ukawa na ufahamu wa vile vitu ambavyo pengine si lazima sana but muhimu kutokana na nyanja yako!!

hatujachelewa jamani.
 

Mkuu, I am not saying that English is not important. The point I and other guys here have been trying to make is that, English should not be our first priority. We should aim at getting knowledge which can make us proud in whatever language. Once you have all the tool (nondo) you can start to struggle with language. If I wanted to switch to French and do my current business in that language, I am pretty sure that I would make it. But when you have nothing except language, it means you are actually a no value material. I have a friend of mine who has done wonders (travels to all corners of the globe) but his English is offal. But the guy is highly regarded because his brain has valuable stuff in it.

Probably, we can ask parents who paid heavily to send their kids to Kampala because of English and ended up getting empty heads fluent in English (with simple words as opposed to Kanumba's difficult words)!!
 
Wabongo hatupendani hasa wakati kunatokea kosa dogo kama hilo la kanumba, ilikuwa haina aje ya kumkeje kijana mwenzetu namna ile. Kwana kunawengine wengi tu ambao lugha hiyo ya kiingereza inawapigachenga pindi inapofikia mazungumzo ya hapo kwa hapo(conversation). Wa bongo wengi tumeshazoea kuandika tu, hatuma utamaduni wa kujiendeleza kukiongea hicho kiingereza tukiwa katika mazingira ya Mtaani. Japokuwa sio lugha yetu. Hivyo hakukuwa na haja ya kumkejeli Kanumba, '' eti celebrity gani asiyejua kiingereza'' kwani ma celebrity wengi Duniani hakifahamu hicho kiingereza.
 

Mode funga hii thread, maana Kanumba anadai yaliyoongelewa hapa ni uzushi mtupu.Anadai yeye aliongea english nzuri tu. Kaka wa watu kanangwa vya kutoshwa hadi anatia huruma.
 
acheni ujinga wa kumponda ze greti KANUMBA mfano lugha ya kimataifa ingekua KISWAHILI na yeye akaongea kingereza mngemcheka? acheni us******ge. kama ingekua ni lugha yetu sawa nyie mnaomcheka wenyewe kuvunja mayai hamuwezi afu mnacheka mwenzenu. ILA MAZEE TUACHENI UTANI LILE NI BONGE LA AIBU NA DEMU WAKE CJUI KASHAMPIGA KIBUTI AMA VP WADAU LETENI STORY. Kama mi ndo ze greti ningekimbilia kijijini kujificha
 
Kanumba atakanushaje wakati tumemsikia sisi wenyewe? Ofcourse kwake yeye ni english sawa tu.
 
Mimi najiuliza Bro Mithupu kumtetea Kanumba na kuacha Comment za wachangiaji kwenye blog yake ziende hewani ni kumsadia au kummaliza zaidi? yaani? Naitwa maimuna????
 
Amani;

Bongo Celebrity wameweka clips ambazo watu hawakuzisema, muulize aliyetazama...
 
Amani;

Bongo Celebrity wameweka clips ambazo watu hawakuzisema, muulize aliyetazama...


Daah haya mkuu ila nimemcheki huko kwa Michuzi anavyotia huruma yaani kwa kweli utahisi watu wanamzingizia.Ila ili kubalance story kama kuna watu wenye hizo clips alizoongea hayo maneno basi tuzione.Maana sasa story inaelekea kuegemea upande mmoja
 

At present where majority of people are trying to learn English as much as they can who are we Tanzanian? It is not a point of walking and lagging behind while others are running! We all know that Swahili is our national language at the moment but it is not an international language yet so why shouldn't we work hard to learn at least one international language and to me I think is the best option so long as we have some background for it.
I suggest we should put more efforts to teach and learn much on pronunciation, this will make us at least to be in the same level like other native English speaking people. Most of Tanzanians who have been abroad believe me or not it took them a time to understand others as well as making others understand them.
Sina tatizo na Kiswahili ndugu zangu wote tunakipenda ila lazima tukubali changamoto na kubadilika ili tusiwe nyuma ya wakati hasa kwa mambo kama haya.
 
Last edited:

FP,
Siwezi kuamini hata kidogo kama mwanafunzi wa kidato cha VI anaweza kuandika rubbish kama hiyo hapo juu, no I can't believe at all.

Nimefuatilia zile clips zake za BBA na ile ya Michuzi ni wazi kabisa Kanumba hakuwa mwakilishi mzuri wa watanzania. Ni vema mwakilishi wetu angekuwa ni yule ambaye anaweza ku-interact na washiriki wengine bila ya matatizo makubwa ya mawasiliano. Kanumba kama mgeni mwalikwa alitakiwa aoneshe uwezo mkubwa wa kujieleza na kuilezea Tanzania.
Kwa mfano kila alipoulizwa swali alionesha kuwa haelewi swali lina hitaji jibu gani badala yake alikuwa anacheka na body language ikionesha kabisa kwamba ndani ya moyo wake anapata shida ya kufanya mawasiliano kwa lugha ya kiingereza.
Nadhani si vema next time wanaochagua nani atuwakilishe katika mambo kama hayo wafanye maamuzi yasiyozingatia maslahi ya watanzania wote.
Issue hapa si kujua kiingereza bali ni kuwa na uwezo kufanya effective communication.
 
Lawama juu ya lawama lakini kikubwa kilicho jaa katika mioyo yenu ni wivu tu hakuna kingine wengi wenu mnataka muwe na mafanikio kama Kanumba lakini ndo hivyo tena mnaishia kuponda viongozi wangapi Duniani Kiingereza shida kwao na hawapondwi au ndo mmemwona Kanumba tu?
 
Ili kutojiaibisha angeamua kuwa mzalendo kweli na kujivunia lugha yake, angeomba aandaliwe mkalimani ye atumie kiswahili tu.
 

Afadhali umeona hilo mkuu kuna watu hawalioni tatizo
 
............hivi uchaguzi wa hawa watu wanaoenda huko huwa unafanyikaje......maana wakati mwingine jamani inabidi tuwe serious zinapotokea opportunities kama hizi............

mi nakumbuka hata kwenye zile debate zetu mashuleni....tulikuw atukihakikisha tunaweka wale watakaotuwakilisha vyema........ili tuibuke vinara.....huku sie wengine ambao kwamba lugha ilikuwa bado tunaendelea kujipiga msasa.........

tatizo letu lingine Watanzania ni kuruhusu watu mediocre.....kupita katika nafasi nyingine hata kama hawastahili..........kisa unaambiwa huyu anapendwa sana, ana sura nzuri (JK).....and on and on.....damn!
 
Language most shows a man, speak that I may see thee.
Ben Johnson
 
Sawa kiswahili Lugha yetu.Haelewi swali?Maana what's the whole point of reality show kama hamna conversation?Basi angepitia maimuna aka-brush lugha kidogo.Maana aliulizwa if you were a real house member ,would you have a strategy?What would it be?Jamaa alionekana kutoelewa hadi Big Brother akaamua kumtafunia..lakini bado hakuwa anaelewa.Tatizo halikuwa accent.Ni uelewa....hata watumia sign language inabidi waelewane ili kuwasiliana...sasa hapa inakuwa vipi...Ndio Kipaji cha kua-act anacho...lakini akubali lugha imempiga chenga and he should work on it...Kweli mamilioni ya watu wote wanamuone yeye wivu?Work on your communication skills as well as brushing up kiingereza.Itakuja kusaidia later.
 
Jamani jamani.

Kanumba alijitahidi kwa kiasi chake kwani asilimia kubwa ya watanzania wako katika mkondo huop wa Kanumba, hivyo asilaumiwe kutokana na kuwa na kiingereza kibovu. Nadhani kitu anachotakiwa baada ya soo hili, ni kwake kujifunza kiingereza kwa bidii kusudi ajiondoe kwenye grupu hilo la watanzania wengi kwani yeye kama celebrity wa kimataifa, siyo mtu wa kariba hiyo tena.

Ukiangalia uandishi wake kwenye hiyo biography yake utagundua makosa mengi tu ya grammar, sentence structure na poor choice of words kama nilivyoweza kuonyesha hapa chini. Ni kama vile alikuwa anatafsiri kiswahili moja kwa moja katika kiingereza.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…