Pretty JF-Expert Member Joined Mar 19, 2009 Posts 2,577 Reaction score 565 Sep 13, 2009 #161 Hakuna hata anayemuonea wivu, yeye ana nini haswaa hadi watu wamuonee wivu? Cha msingi akubali kwamba alishindwa kuelewa vizuri baadhi ya maneno.
Hakuna hata anayemuonea wivu, yeye ana nini haswaa hadi watu wamuonee wivu? Cha msingi akubali kwamba alishindwa kuelewa vizuri baadhi ya maneno.
N Ntare New Member Joined Apr 1, 2008 Posts 2 Reaction score 0 Sep 14, 2009 #162 Aya bwana wengine wanasema kiingereza kwa wabongo ni janga la kitaifa sasa wakulaumiwa nani? mtu yeyote asiye na mazoea ya kuongea kiingereza au kukitumia mara kwa mara yanaweza kumkuta ya Kanumba na sisi wabongo ndio hivyo tena......
Aya bwana wengine wanasema kiingereza kwa wabongo ni janga la kitaifa sasa wakulaumiwa nani? mtu yeyote asiye na mazoea ya kuongea kiingereza au kukitumia mara kwa mara yanaweza kumkuta ya Kanumba na sisi wabongo ndio hivyo tena......
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 11,075 Reaction score 24,634 Jan 1, 2017 #163 Aise tumetoka mbali.
A Andrew123 JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 8,358 Reaction score 10,976 Jul 13, 2022 #164 RIP Kanumba