nashindwa kuelewa kama walielewa haswaa maana ya hizo id hapo juu! 'the great' na mwingine akapiku na 'the greatest'!
jamani mwenye ufafanuzi kuhusu hawa watu na majina yao ya ziada watufahamishe!!
out of topic kidogo!
--hivi ni kweli bongo movie hakuna kipaji halisi? mbona kila ninaposikiliza interview za hawa watu kila mmoja anasema alikuwa na lake, baadae ndio anasema akaja kwenye movie? achilia mbali steven kanumba!
--hivi kama bongo movie wakiruhusiwa kuigiza movie zenye scene za ngono live bila kubaniwa, hali itakuwaje?
maoni yenu tafadhali !!!!