napata tabu hata kujua hizi sinema zinakuwaga na maudhui gani zaidi ya kuona kama vile zina lengo la kuwauza wasaanii baada ya kuuza mada. Mbaya zaidi nyingi ni pirated maana ukiziangalia unaona kabisa ni translation ya sinema za ki Nigeria, nadhani ingekua vyema hii industry ikapata wawekezaji wakawafundisha hawa warembo wanaojichanua dhana nzima na jinsi gani ya utunzi wa sinema. Sinema ni utamaduni wa watu sasa katika hizi za kwetu sioni kabisa utamaduni wetu uko wapi, bora wakina bi mchawi wale wanaofanya vitu vinavyoitwa maigizo wangepigwa tafu kuyaweka katika sinema tungesema tumepiga hatua hivi vitoto hata havijua vinachotaka. Wema sepetu na international school yote na exposure poor girl ameishia kuwa a big joke, poleni wazazi hii ndio dunia, pigeni magoti muombe mungu amtoe mtoto hilo pepo la kashfa.