Kanumba ze greit

Kanumba ze greit

Dr Lizzy

Platinum Member
Joined
May 25, 2009
Posts
31,009
Reaction score
60,629
Kanumba kaandaa movie miaka miwili!:first:

MOVIE HII NIMESHOOT MWAKA 2008 ILA KUTOKANA NA TECHNOLOGIA ILIYOKUA INATAKIWA KATIKA EDITING ILI KUPENDEZESHA MOVIE NDIO MAANA IMECHUKUA MDA KUTOKA NAOMBA IELEWEKE HIVYO....

🙄
 
mhhhh.sijui kwa nini huyu jamaa ananiboa kupita maelezo..........
 
mhhhh.sijui kwa nini huyu jamaa ananiboa kupita maelezo..........

Ukianzia hapo kwnye kujiita ze greit ...................my foot; Mbona wenzao wanatumai majina yao ya kawida na Umaarufu unaongezeka tu?
 
Mi naamini huyu si kanumba kajipa jina la mtu. Hivi Nyie hamna majina. Basi kama unataka la utani Tunga lako. Kama mimi MAGEUZI1992
 
Back
Top Bottom