MOVIE HII NIMESHOOT MWAKA 2008 ILA KUTOKANA NA TECHNOLOGIA ILIYOKUA INATAKIWA KATIKA EDITING ILI KUPENDEZESHA MOVIE NDIO MAANA IMECHUKUA MDA KUTOKA NAOMBA IELEWEKE HIVYO....
mhhhh.sijui kwa nini huyu jamaa ananiboa kupita maelezo..........
Inaitwa ''white maria'' anadai bado anaiandaa
Ndo tunafanya hapa kwa Ku-critisize!Wabongo kwa kukososa hamjambo. Wenzenu hutoa na njia ya kufanya. Wivu tu utawaua