Kanuni 12 muhimu za kuzingatia kuhusu pesa

Bahati mbaya sana mada zenye maana hazina wachangiaj..mada za ki**** ndo utakuta comment had 3000


Asante sn mleta mada
 
Big up. Nawezaje kuepuka madeni ama kukopa?
Mimi sio expert wa mambo ya uchumi ila na kujibu kutokana na experience ya utu uzima.
Kuepuka madeni sio rahisi kwa mtafutaji ila kuna baadhi ya vitu ukivifanya unaweza kupunguza wingi wa madeni.
1.Jitahidi kuishi maisha yanayoendana na kipato chako.
2.usiwe mwepesi wa kukopa kopa only kwenye serious case.
3.kopa mikopo yenye masharti nafuu maana kuna aina ya mikopo ni kujitia kitanzi especially mikopo ya riba za mtaani
4.lazima uwe na mikakati ya kurejesha mkopo kabla ujakopa usione uchungu kulipa deni kisa utabaki una pesa kidogo maana heri kile kidogo kilicho chako kuliko kingi kisicho chako
Ya kwangu ni hayo wengine wanaweza kuongezea.
 
safi mkuu
 
Thanks
 
Kamwe usimkopeshe ndugu .
Lazima mfahamiane vyema.

Narudia"lazima mfahamiane vyema"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…