Nimesikia mwenyekiti wa bodi ya ligi akigusia uandwaaji wa kanuni kali.
Naunga mkono kanuni ziwe kali zaidi hususan inayopiga vita ushirikina katika soka. Hatutaki kuona mazingaombwe uwanjani bali vijana wacheze soka halali.
Tabia ya kuvunja makufuli ya mageti,kuruka ukuta na ujinga mwingine kama huo haukubaliki. Adhabu iwe kunyang'anywa pointi na hata ukifumgwa unakatwa pointi nyingine tatu kwenye alama ulizo nazo.
Hii ni kukomesha kabisa biashara ya mazonge zonge kwenye soka