Tatizo ni pamoja na watu wanaofikiri kama weweHivi Taasisi kama TFF imakomaa kuongelea ushirikina.
Ushirikina ni jambo ambalo huwezi kuthibitisha.
Hizi ni tamaduni zetu mbona wazungu wanafanya mambo ya ovyo kwenye mpira tunaona ni usasa
Hayo masuala ni imani ya mtu. Kuna wachezaji wakiaingia uwanjani wanapiga ishara ya msalaba wengine wakifunga goli wanapiga makoti na kuinama kama wanavyofanya waislamu wakati wa kuswali na haionekani ni shida, as long as mtu hasababishi hatari au usumbufu kwa wengine basi kila mmoja abaki na imani yake.Ni aibu mpaka Karne hii timu bado zinaendekeza Imani za kishirikina, kuzitoza faini haisaidii.
Hatutaki kusikia mtu anavunja geti,au anamwaga unga uwanjani au anafukua taulo la kipa.Hivi vitendo na vingine kama hivyo vinapaswa kutovumiliwaHayo masuala ni imani ya mtu. Kuna wachezaji wakiaingia uwanjani wanapiga ishara ya msalaba wengine wakifunga goli wanapiga makoti na kuinama kama wanavyofanya waislamu wakati wa kuswali na haionekani ni shida, as long as mtu hasababishi hatari au usumbufu kwa wengine basi kila mmoja abaki na imani yake.
Mtu akivaa rozali ni sawa ila akivaa hirizi kelele kibao wakati kimsingi lengo la hao wote ni moja wametofautiana imani tu.
Huu ndo utamu wa soka . Shirikisho halina hata viwanja 10 vya mpira safi mnawaza uchawi .Hatutaki kusikia mtu anavunja geti,au anamwaga unga uwanjani au anafukua taulo la kipa.Hivi vitendo na vingine kama hivyo vinapaswa kutovumiliwa
Malengo ya Rozali na Hirizi ni tofauti kabisa.Hayo masuala ni imani ya mtu. Kuna wachezaji wakiaingia uwanjani wanapiga ishara ya msalaba wengine wakifunga goli wanapiga makoti na kuinama kama wanavyofanya waislamu wakati wa kuswali na haionekani ni shida, as long as mtu hasababishi hatari au usumbufu kwa wengine basi kila mmoja abaki na imani yake.
Mtu akivaa rozali ni sawa ila akivaa hirizi kelele kibao wakati kimsingi lengo la hao wote ni moja wametofautiana imani tu.
Tofauti yake ni ipiMalengo ya Rozali na Hirizi ni tofauti kabisa.
Malengo ni yale yale, tatizo liko kwako,Malengo ya Rozali na Hirizi ni tofauti kabisa.
TFF wamepotokaHivi Taasisi kama TFF imakomaa kuongelea ushirikina.
Ushirikina ni jambo ambalo huwezi kuthibitisha.
Hizi ni tamaduni zetu mbona wazungu wanafanya mambo ya ovyo kwenye mpira tunaona ni usasa