Kanuni kuu tatu za mafanikio ya kiuchumi

Big up mkuu,, naomba idea ya biashara
 
Big up mkuu,, naomba idea ya biashara

Do something you like to do. Find a way to make money from hobby. In order to be rich, you must enjoy what you are doing.

Business is about Demand and Supply, depending on your Capital. Find a demand first and Then see if you can amass substatial fund to start supplying.

Supply means you can either buy from a whole seller or Manufacturer or you can Manufacture it yourself and Supply.

The Big issue is Presence of Buyer of the Products or Services.
 
mwenye idea za biashara atiririke zaidi Nina laki 5 nataka kuanza small bizines
 
mwenye idea za biashara atiririke zaidi Nina laki 5 nataka kuanza small bizines
Tafuta sehemu iliyo nzuri kasha fungua Banda la kuuza chipsi,kwa Mtaji ulio nao(500,000) unatosha kabisa kwa kuanzia.
 
mwenye idea za biashara atiririke zaidi Nina laki 5 nataka kuanza small bizines

Fanya utafiti maeneo ya mbali kidogo na Mjini, pitia maduka ya huko na uulize bidhaa gani wanahitaji kutoka Dar, kwa mfano, then Njoo Dar, usinunue kwa whole seller hiyo product. Nenda kanunue kutoka kwa Agent, then angalia bei wanazouzia wholeseller na retailers, then kokotoa gharama za usafiri na matumizi yako kwa ujumla, then Panga bei na uwapelekee mzigo. Always beat the price of your competitors.
 
Mi nimeajiriwa mwaka huu. Lakin nina milion 1 kwenye acount yangu. Nawaza nifanye biashara gan ndugu zangu
 

Thank you for your brilliant advice.
 
mimi nina milion 1 na nusu naweza fungua duka la vpodoz sehemu ambayo haina msongamano mkubwa au mdoggo wa wa2 dar?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…