Sina shida na Watu kulipa kodi.
Shida ni kodi zinazokusanywa zinafanya nn.
Ili kodi iweze ku reflect kwenye maisha ya watanzania, hatuna budi kua na
1. Huduma bora za Afya & Bimq
2. Maji safi kupatikana mda woote
3. Elimu nzuri
4.Barabara nzuri na vingine