Kanuni nne za kujijengea kuepuka mnyororo wa muongozo wa fikra za kijamii

Kanuni nne za kujijengea kuepuka mnyororo wa muongozo wa fikra za kijamii

Mema Tanzania

Member
Joined
Feb 23, 2020
Posts
66
Reaction score
65
The Four Agreements ~ Don Miguel.

Don Miguel ni moja ya waandishi nguli duniani. Ni mtunzi wa vitabu maarufu The Mastery Love, The Voice of Knowledge na Prayers.

ReadersClub2.png


Katika kitabu cha The Four Agreements ameelezea kanuni kuu nne ambazo mwanadamu anaweza kujijengea na kuepuka mnyonyoro wa muongozo wa fikra za kijamii. Kanuni hizo ni;

1. Kuwa msafi na maneno unayoyatoa (Be Impeccable with your words).

2. Usichukulie vitu binafsi (Don't take things personal).

3. Usitengeneze dhahania (Don't make assumptions).

4. Siku zote fanya kwa uwezo wako (Always do your best).

Ujumbe wake: Tangu mwanadamu anapozaliwa hujengwa na kanuni za jamii ambazo nyingine kimsingi huwa ni kandamizi kwa tabaka fulani iwe jinsia, umri n.k. Don Miguel anatufundisha kusimamisha kanuni hizo na kuanza kutafuta ukweli wetu halisi.
-
Karibu #MemaReadersClub

Tufuate:
www.facebook.com/mematanzania
www.instagram.com/mema_tanzania
www.twitter.com/mematanzania
 
Red light special... During the break time I will check back and comment... Let me kwichi kwichi first
 
Back
Top Bottom