Kanuni sahihi za ufugaji wa kuku wa kienyeji

Ndgu nataman ungeshea nasi aina na michanganyo mbalmbal ya vyakula ili kusaidia kupunguza gharama za uendeshaj.......tafadhal mkuu
 
Ndgu nataman ungeshea nasi aina na michanganyo mbalmbal ya vyakula ili kusaidia kupunguza gharama za uendeshaj.......tafadhal mkuu
Kama nilivyosema tumia (kuchanganya)vyakula vinavyopatikana katika mazingira yako kwaa mfano: Pumba za mahindi, Mashudu ya alizeti, Dagaa (pumba la dagaa) yaani dagaa waliovunjika kiasi kwamba hawawezi tena kuliwa na binadamu, Chumvi (ya baharini ni nzuri zaidi), Uduvi na Chokaa. Itakubidi ununue dukani Premix (Broiler au Layers) halafu Uvichanganye kwa uwiano (Ratio)unaotakiwa.
 
Asante ndugu.....hapo kwnye Ratio ss
 
Asante bosss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…