mapinduzi daima
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 1,725
- 2,703
Waungwana heshima ziwafikie kote mlipo...
Utangalizi:
Jana tarehe 8/March/2014, Bunge la katiba kwa kauli zenye mchanganyiko wa NDIYO na HAPANA, limepitisha Kanuni ya 36 inayohusu Upitishaji wa MAAMUZI kama ifuatavyo:
1. Kwenye kamati: inatakiwa 2/3 ya Zanzibar na 2/3 ya Tanganyika ili IBARA ikubalike.
..... isipokubalika, kamati inaileta HIVYO HIVYO BUNGENI hiyo ibara ikiwa pia na maboresho kama yapo, lakini ikiwa haijakubaliwa na wajumbe.
2. Baada ya kila kamati kuleta hizo ibara (kumbuka zitakuwa zimefanana) na ripoti zake either zimekubalika au hazijakubalika, kamati ya uandishi inajumuisha ripoti zote na kuandaa ripoti moja ya hiyo ibara ikaaje..
3. Bunge linapiga kura, 2/3 ya kila upande wa Muungano lazima ikubaliaane..
4. Kama bunge litakataa...inapelekwa kwa kamati ya mashauriano....na kurudishwa bungeni.. ikiwa bunge litakataa tena. HIYO IBARA INAWEKWA PEMBENI. Na kuanza ibara nyingine.
5. Mwishoni baada ya ibara zingine kupita, IBARA ZILIZOKATALIWA...kwa maelezo ya Dr. Ackson (mjumbe wa kamati ya kanuni)...ibara hizo zinatolewa katika rasimu ya katiba inayopelekwa kwa wananchi kwa maoni.
HOJA
a. kwa kuwa bunge hili lina mamlaka ya kujadili, kutunga na kupitisha msingi wa rasmu ya Tume ya Warioba
b. mfano bunge likashindwa kukubaliana katika ibara hizi:
1. Ibara ya 60 : Muundo wa Muungano either Serikali 3 au 2 zinazopendekezwa na CCM
2. Ibara ya 101 kifungu cha 2: Mawaziri kutokuwa Wabunge
3. Ibara ya 125 kifungu cha 2: Muda wa mbunge ni vipindi 3 kwa miaka mitano kila kimoja
HAPO BUNGE likishindwa kupata mwafaka, wakiviweka pembeni... na kwa kuwa wanatakiwa kupeleka RASMU MOJA TU kwa wananchi...ili mimi na wewe tuseme NDIYO (2/3 kwa pande zote za Muungano) AU HAPANA.
Mh. Sendeka, alipendekeza ikifikia BUNGE likishindwa kupata mwafaka, Mwanasheria Mkuu wa Bara na Zanzibar wakae wapate mwafaka wa kuwapelekea wananchi.
Kamati ya kanuni inasema HILO litaangaliwa huko huko mbele ikifika
MTAZAMO WANGU:
1. ikifikia BUNGE likishindwa kupata mwafaka, BUNGE LITUNGE MASHARTI ya muda ya mwafaka wa kuwapelekea wananchi.
2. Vinginevyo HUU ni mtego kwetu SOTE.
3. NAWASILISHA......