Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I left NMB some years ago but if no major changes ni kwamba wapo strict na BOT regulation where monthly instalment should not exceed 1/3 of net pay! If so, ur monthly instalment will be roughly 300K! Ukipewa 3 yrs loan then will be 300K x12 x3 less interest(24% or less)! if u want more,mwenye kujua kanuni ya kukokotoa mkopo wa nmb na benk nyingine naomba aitupie hapa
mfano take home ya 950000 anaweza kukopa maximum kiasigani?
I left NMB some years ago but if no major changes ni kwamba wapo strict na BOT regulation where monthly instalment should not exceed 1/3 of net pay! If so, ur monthly instalment will be roughly 300K! Ukipewa 3 yrs loan then will be 300K x12 x3 less interest(24% or less)! if u want more,
maximize ur net pay !
Kwa miaka 5 subir niingie ofcn then nicalculate kwa excel nikupe jibu kamili
Wakuu jaman hapa kwenye system ni lazima nipate nione salary slip yako inanilazimu niingize makato yote ndo tupate actual amount makato kama PAYE,vyama vya wafanyakazi,etc so be specific unamakato yapi na yapi
Interest ni 18%based on reducing balance