kanuni ya kukokotoa mkopo wa wafanyakazi nmb

koplo

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
574
Reaction score
153
mwenye kujua kanuni ya kukokotoa mkopo wa nmb na benk nyingine naomba aitupie hapa
mfano take home ya 950000 anaweza kukopa maximum kiasigani? au akikopa 15m atalipa kiasi gani kwa 5yr
 
mwenye kujua kanuni ya kukokotoa mkopo wa nmb na benk nyingine naomba aitupie hapa
mfano take home ya 950000 anaweza kukopa maximum kiasigani?
I left NMB some years ago but if no major changes ni kwamba wapo strict na BOT regulation where monthly instalment should not exceed 1/3 of net pay! If so, ur monthly instalment will be roughly 300K! Ukipewa 3 yrs loan then will be 300K x12 x3 less interest(24% or less)! if u want more,
maximize ur net pay !
 

Nasdaz things have changed nmb now....interest rate for salary workers ni 18% we are offering up to 5 years now also BOT regulation now ni should not exceed 60% of net pay kwa huyu anaeza kupata more than 7mil
 
Kama take home ni hiyo 950000 take ua net salary times 22 then u wil get 20mil n 700 thou
 
Kama take home ni hiyo 950000 take ua net salary times 22 then u wil get 20mil n 700 thou

cjakupata yani 950000×22 ndo naweza kupewa kwa miaka mingapi?
 
Wakuu jaman hapa kwenye system ni lazima nipate nione salary slip yako inanilazimu niingize makato yote ndo tupate actual amount makato kama PAYE,vyama vya wafanyakazi,etc so be specific unamakato yapi na yapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…