Kanuni ya mapenzi: Huna pesa, huna chako...

Liverpool_Jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2019
Posts
1,220
Reaction score
1,415
As stipulated by Mchepuko et al., (2019) ""Mapenzi ya siku hizi yapo kama king'amuzi. Usipokilipia uoni kitu. Lakini ukikilipia tu, utapewa Channel mpaka unachanganyikiwa""

Tafuta HELA kwa BIDII ZOTEE kijana MWENZANGU...

#ASANTE
#YNWA
 
Noted. .but hii ina aply sana mijini kwenye Miji iliyo endelea na inayo endelea. .ila huko na mtumbo sijui ileje. .watu Wana pendana tu kwa upendo wa Dhati pesa kwao haina nafasi kwa sababu hakuna mzunguko wa pesa huko
 
Hahahahahahahahah pesa haina nafasi ila ni muhimu sasa huyo wa namtumbo sabuni anatengeneza mwenyewe?
 
Jeff Bezzos tajiri wa kwanza duniani kapigwa chini na Mkewe.

Bilionea Msuya toka A. Town kala mweleka mkali sana.

Muholanzi aishiye Kenya kashatangulia mbele za haki.

Mkata nyasi, Bodaboda au House boy wanatafuna Wake wa matajiri flani

Mapenzi hayana kanuni...[emoji125][emoji119][emoji16]
As stipulated by Mchepuko et al., (2019) ""Mapenzi ya siku hizi yapo kama king'amuzi. Usipokilipia uoni kitu. Lakini ukikilipia tu, utapewa Channel mpaka unachanganyikiwa""

Tafuta HELA kwa BIDII ZOTEE kijana MWENZANGU...

#ASANTE
#YNWA
 
Mapenzi siyo pesa ila pesa hurahisisha baadhi ya vikwazo vya mapenzi. Labda mkutane nyote mna penzi la dhati au ke awe mvumilivu au mwenye kipato cha kuridhika mwenyewe.

Lasivyo ukikutana na hawa wenye misiba na wagonjwa kila wanapotongozwa, utakuwa kama huyu jamaa hapa chini kwenye picha.
1568636974460.jpeg
 
Noted. .but hii ina aply sana mijini kwenye Miji iliyo endelea na inayo endelea. .ila huko na mtumbo sijui ileje. .watu Wana pendana tu kwa upendo wa Dhati pesa kwao haina nafasi kwa sababu hakuna mzunguko wa pesa huko
Kwasababu WANAWAKE wa huko hawana OPTION...
Ila wakishuka masela wenye HELA zao WANAWAKULA VIZURI TUUU...
 
interlacustrineregion, Cha kujifunza...

Kabla ya kupigwa chini walikua nao, Je WALIWAPATAJE?

Na hao SHAMBA BOYS hutokea tu Mara moja moja... Ila ukitaka permanent lazima COST iwe INCURRED....
 
Mapenzi siyo pesa ila pesa hurahisisha baadhi ya vikwazo vya mapenzi. Labda mkutane nyote mna penzi la dhati au ke awe mvumilivu au mwenye kipato cha kuridhika mwenyewe.

Lasivyo ukikutana na hawa wenye misiba na wagonjwa kila wanapotongozwa, utakuwa kama huyu jamaa hapa chini kwenye picha. View attachment 1210364
There is no FREE LUNCH in CAPITALIST COUNTRY..

No money your DOOMED...
 
Back
Top Bottom